Naomba ushauri wenu: Nijiunge Freemasons?

Naomba ushauri wenu: Nijiunge Freemasons?

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
542
Reaction score
1,053
Kuna mshikaji wangu anahela kibao anamiliki magari kali na mademu kwa mbele. Ila yeye n mwanachama wa freemason,amenishawishi nami niingie chaman.Ila na wasiwas sijui nifanyaje,naomben ushaur wen
 
Freemason hawagawi hela, mwambie akutajie vizuri hela kaipataje.

Na tambua sio rahisi kwa mtu kuwa mwanachama wa Mason
 
Fanya yote ila Linda hili zaga bwashee🤔
Screenshot_2026-04-01_154100.jpg
 
Unatania wewe! Kwanza una ushawishi gani kwa jamii ili freemason waone kama unaweza kutumika kutekeleza ajenda zao?
 
Unadhani freemason ni vigagula, waganga wa kienyeji? Wale ni elite mjuba, kama huna sifa za kuwa mwanachama wao hutaweza kuwa mwanachama wao
 
Hapo ulipo unaweza ukawa we tayari ni mwanachama wa freemason wa ngazi ya chini kabisa asiyeingia vikaoni na mikutano yao. Yaani unatekeleza ajenda zao bila kujua, mwanachama asiye rasmi wa daraja la chini usiyejua siri zinazopangwa!
 
Kuna mshikaji wangu anahela kibao anamiliki magari kali na mademu kwa mbele. Ila yeye n mwanachama wa freemason,amenishawishi nami niingie chaman.Ila na wasiwas sijui nifanyaje,naomben ushaur wen
Sasa si uonge na huyo mshkaji wako akuingize

Ova
 
Kuna mshikaji wangu anahela kibao anamiliki magari kali na mademu kwa mbele. Ila yeye n mwanachama wa freemason,amenishawishi nami niingie chaman.Ila na wasiwas sijui nifanyaje,naomben ushaur wen
Mwanachama wa kundi la Freemason (au Masoni) ni mwanachama wa chama cha kidugu (fraternal organization) ambacho ni cha zamani na kikubwa zaidi duniani, kinachoitwa Freemasonry.
Katika lugha ya Kiswahili, neno hili mara nyingi hutumiwa kuelezea mfumo wa siri wa kidini au kijamii, ingawa wenyewe wanajitambulisha kama taasisi ya kutoa msaada na kujenga maadili.
Hapa kuna tafsiri na maelezo ya vipengele vyao kwa Kiswahili:
Sifa Kuu za Freemason
Undugu (Brotherhood): Ni muungano wa wanaume wanaosaidiana na kufanya kazi za kijamii.
Imani ya Mungu: Ili kuwa mwanachama, lazima uamini kuwepo kwa "Mungu" au "Muumba Mkuu wa Ulimwengu" (The Great Architect of the Universe), ingawa si dini fulani maalum.
Maadili na Alama: Wanatumia vifaa vya ujenzi (kama pasi na msumari wa ncha mbili) kama alama za kufundisha tabia njema na uaminifu.
Dhana Potofu na Ukweli (Misconceptions vs Reality)
Katika jamii nyingi za Afrika Mashariki, neno "Freemason" limehusishwa na mambo mengi ya kufikirika ikiwemo
Kutoa kafara upate utajiri
Kuwa na hela nyingi bila kuwa na chanzo rasmi
Kuishi maisha ya kifahari na starehe
 
Labda ukaungwe kwenye chama cha wachawi, walozi, wanga, vigagula na waganga wa kienyeji hapo utaungwa chapchapu. Freemason hawa deal na ngumbaru, wasio na chochote na makapuku. Angalau uwe na kipaji kama huna elimu kubwa hapo unaweza kupata uanachama kama we ni potential kwao. Hivi hivi kapuku kajamba nani hueleweki una ushawisi gani kwa jamii, ufreemason sahau, utausikia na kuusoma tu
 
Kuna mshikaji wangu anahela kibao anamiliki magari kali na mademu kwa mbele. Ila yeye n mwanachama wa freemason,amenishawishi nami niingie chaman.Ila na wasiwas sijui nifanyaje,naomben ushaur wen
Jiunge. Wako sawa kabisa utapata mademu na magari mbele kwa mbele.

NB: Ukishatimiza masharti usije kulia tena isipokuwa utupe mgao wako
 
Back
Top Bottom