Naomba Ushauri wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Ushauri wako

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Persie, Aug 22, 2012.

 1. Persie

  Persie Senior Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kachaguliwa st John's ya dar (st mark's) BAF lakini yupo saut anapiga pre entry programme BBA in procurement anaomba ushauri aende wapi, na wapi kuna soko kubwa la ajira?
   
 2. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda baf kijana
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu mi nadhani ungekwenda tcu ukaombe wakupe ushauri coz pale ndipo kwenye wataalamu
   
 4. K

  Koromeo Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Unamuombea dogo ushauri akili kumkichwa yeye Hajui cha kufanya
   
 5. Persie

  Persie Senior Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Alie soma/anaesoma St John hiyo BAF funguka kuhusiana na quality yake ukilinganisha na BAF ya vyuo vingine kama Mzumbe na Muccobs
   
 6. Persie

  Persie Senior Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 7. Persie

  Persie Senior Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante
   
 8. Persie

  Persie Senior Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  quality vp ukilinganisha na ya vyuo vingine
   
 9. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  dogo bongo hapa kwa sasa procurement hiko juu, asikwambie mtu. nakushauri ukasome hiyo manunuzi prokyuament, mana sio vyuo vingi vinafundisha hiyo. pia ukiangalia hata serikialini wametilia mkazo swala la procurement.
  nikwambie dogo, baf , bcom, bachelor of accounting, ni kitu kimoja kuna maelfu na maelfu ya watu katika field hizo. pia kutoka katika field hiyo ni kujuana au kama wewe ni kichwa kweli. kichwa cha kupata first class au upper second kali ambazo hizo ni za ma TOOO. KASOME MANUNUZI MDOGO WANGU ,USIJE UKATUSUMBUA MTAANI HELA YA KULA
   
 10. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Tatizo lenu vijana ni kwamba nyote by instinct ni mafisadi hata kama post zenu nyingi hapa ni za kulaani mafisadi. Mnalaani kwa vile hamjapata nafasi ya kuingia lakini malengo yenu ni kujiunga katika kundi la mafisadi. Financial sector hapa Tz ni kubwa na inaendelea kukuwa na kuwa diversified. Kwa hiyo kama unayo BAF 'worth the salt' prospect ni nyingi. Lakini ni sector inayoangalia vichwa siyo makaratsi.
   
Loading...