tembophd
Senior Member
- Jun 3, 2016
- 113
- 34
Habari gani wakuu......
Kwanza poleni kwa majukumu...Mimi ni mwanachuo Dodoma lakini nina wazo la kilimo pia..
Ninawazo la kukodi shamba mpanda kwa ajili ya kilimo cha Mpunga.
Naomba ushauli wenu wa aina yeyote unao usu Hichi..
Natanguliza shukrani.......
Nawasilisha