Nawasalimu Wote
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 20, Kiumbo Mimi Ni Mwembamba Sana Mpaka Nashindwa Kabisa kuanzisha Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mwanamke.
Sometimes Nikikaa Na Vijana Wenzangu Wananicheka Sana Kuhusu Umbo Langu La Mwili, mara Wananiambia Hivi("We Jamaa Ni Sindano Sana".
"We Jamaa Ukipata Demu Hata Bao Moja Hufikishi".
"We Jamaa Ni Mlenda Sana".
"Hivi Una Demu Kweli?"
Yaani nakuwa Confused Sana Kisaikolojia mpaka Nashindwa Kujiamini Ninavyokuwa Mbele Ya Kundi La Watu.
Naomba Ushauri Wenu Nifanyeje Ili Watu Waweze Kunitambua Kwamba Na Mimi Ni mtu mbele ya watu?