Swali je? Unahitaji kuanza biashara ya mazao ya aina gani,ni vizuri ukijua au ukishughulika na zao 1Nataka kufanya biashara ya mazao naomba msaada wa mawazo na kwa yeyeto anaeweza kunisaidia sehemu yenye urahis wa upatikanaji wa mazao yenyewe!Nipo Mwanza