Naomba ushauri wa simu nzuri kwa bajeti hii

Habari wakuu,

Ninataka kununua simu yenye perfomance nzuri, camera nzuri kwa badget ya 350,000 tu.

Brand nataka iwe samsung au iphone.

CHIEF MKWAWA

Unaeza kuwa na pesa na hujui vitu vizuri

350k ni pesa nyingi sana ..watu wanakupendekezea sinui A10 mara A20

Na kuna mtu anaeza toa 250k tu ila ila akakuzidi wewe ulioongeza laki nzima....

Jifunze si lazima uingie dukani

Kumbuka kwa laki na nusu unapata tecno f1 ram 1gb 8gb rom

Pia

Kwa laki na nusu unapata used Nokia 2.1,, 2.2 pia ukiwa mjanja, infinix hot 8, oppo A3s

Ndo mana nasema laki 3.5 ni pesa nyingi na nzuri kupata utakacho

Sasa ni wewe tu uamue brand new f1 ama nilizokupa mfano kwa bei hiyo vivo hivo kwenye pesa yako ununue a20 iishe au simu bora zaidi specs kubwa zaidi kwa pesa ile ile
 
Mkuu sina ela ya sikukuu leo njoo nikupe i phone 6plus gb 16 kwa iyo iyo bajeti yako.

Hizo simu sijawahi zipenda ..yani i cant pay zaidi ya laki mbili kwa hiyo simu..naweza kuwa natumia ya 230k tu but inanipa zaidi ya hiyo cm ..big battery at 4500mah camera, storage, ram, stereo speakers, finishing nzuri

Sio tecno, samsung, infinix , oppo, huawei, itel, ,
😊
 
Back
Top Bottom