Naomba ushauri wa simu nzuri kwa bajeti hii

Mahitaji yako ni basic sana jaribu xiaomi redmi 9 ,@3gb ram 64gb rom and 5020mah battery, bein ya leo ni 293000 AliExpress
Hii nimeangalia mpaka ifike bongo ni kama 625,000
 
Habari wakuu,

Ninataka kununua simu yenye perfomance nzuri, camera nzuri kwa badget ya 350,000 tu.

Brand nataka iwe samsung au iphone.

CHIEF MKWAWA
Hapo kwenye brand umeyumba.

Wakuu mimi naomba kusaidiwa kwa brand yoyote kwa pesa hio!
Kuanzia GB 64 storage.

Naungana na wadau hapo juu redmi 9 ni bonge la simu kwa around laki 3.

Na kama unataka kujilipua kwa simu refurbished kwa 320,000 unapata LG G7 thinq Aliexpress, simu kali sana flagship ya 2018.
 
Back
Top Bottom