Naomba ushauri wa simu nzuri kwa bajeti hii

Sio kweli ni simu tu ndo majanga, inakuwaje the same sim card nakula H++ hadi 4G kwa noki lkn nkiitia ktk amsung A series (10,20,50) mwendo wa kinyonga hata hyo H kushika ni kwa sekunde kadhaa tu. eneo likiwa lilelile???!
 
#Nipedili wadau Nina shida na screen ya Samsung A 5( 2017) Kama una Samsung iliyo aribika tafadhalinl kuja tufanye Bussines. Au Kama unamjua mtu mwenye aina hiyo ya simu na screen ni nzima please ni connect naye.
Masawiliano 0742645242
 
Hizo brand naona ni nzuri kwangu,nimetumia brand nyingi lkn sikuzifurahia sana, hizo ndio nimeona bora kwangu.
Brand kubwa ili upate specs nzuri inabidi utoboke mifuko, they are not cheap,
Umetumia brand zipo Kwan mkuu,? Ulishawahi kutumia xiaomi au oppo? Niliwahinkuwa na oppo realme x Ina 4gb ram 64 gb rom , amoled display, in screen fingerprint, pop up front camera ,USB C na ilikuja kwa wastani wa sh290000 tu kutoka china
 
Sio kweli ni simu tu ndo majanga, inakuwaje the same sim card nakula H++ hadi 4G kwa noki lkn nkiitia ktk amsung A series (10,20,50) mwendo wa kinyonga hata hyo H kushika ni kwa sekunde kadhaa tu. eneo likiwa lilelile???!
Hiyo A series naona Samsung alitaka tu kundraw attention ya sie walalahoi, Mana specs haziendani na software, nna A 20, nilipo I load na programs tu ikaanza ku freeze ,
 
Brand kubwa ili upate specs nzuri inabidi utoboke mifuko, they are not cheap,
Umetumia brand zipo Kwan mkuu,? Ulishawahi kutumia xiaomi au oppo? Niliwahinkuwa na oppo realme x Ina 4gb ram 64 gb rom , amoled display, in screen fingerprint, pop up front camera ,USB C na ilikuja kwa wastani wa sh290000 tu kutoka china
Oppo sijawahi kutumia maana hata madukani sizioni au mpaka niagize online,nimetumia Tecno,huawei,samsung,iphone,nokia.
 
Back
Top Bottom