Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Katika pitapita yangu huko Youtube nimekutana na hii kitu, I was interested to try lakini nimeona before nije kwa wajuzi humu ndani japo kupata mawazo, is it worth trying ? Kuna aliyejaribu? Naomba ushauri, kejeli na matusi ni sehemu ya changa moto ntazipokea in advance.