Naomba ushauri wa kisheria juu ya tukio hili

salm salum

New Member
Sep 1, 2016
0
0
Mimi naitwa Gidion, nipo Iringa. Leo Kuna tukio limetokea nyumbani kwetu ambapo kijana mmoja alivamia nyumbani.

Katika uvamizi huo alimpiga na jiwe kubwa mzee wangu kifuani hali iliyopelekea mzee wangu kutokwa na damu mdomoni na puani na kupoteza fahamu. Kijana huyo ni wa hapo hapo kijijini kwetu. Tumejaribu kufuatilia kwa Mwenyekiti wa Kijiji lakini kama anatuzungusha hivi!

Msaada tafadhali kwa anayejua utaratibu wa mashitaka kwa mtu kama huyu.
 
Back
Top Bottom