Naomba ushauri wa kielimu ndugu zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri wa kielimu ndugu zangu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Fungo N., Jul 10, 2011.

 1. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimehitimu na degree ya sanaa na elimu BAED matarajio yangu ni kama ifuatavyo:nitafundisha miaka 4 tu katika gvt schools baada ya hapo nataka nafanye post graduate diploma ya public administration au humam resource management au community development baadaye masters.Kikubwa naomba ushauri wa hizi kozi na ningependa kujua gharama zake kwa anayejua.Naomba kuwasilisha
   
 2. s

  siwalaze Senior Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Nadhani ukiambiwa leo kila kitu huwezi kujua nini baada ya muda fulani!! ushauri wangui ni kuwa ingia kwa soko la ajira kwanza then ndani ya miaka 4 utapata jibu lako la kitu utakacho kukifanya maana tayari utakuwa umejiandaa vya kutosha !! probably ukapata na option nzuri zaidi ya hiyo ulionayo sasa!!! japo si vibaya kujua!!!

  All the best katika soko la ajira mkuu!!!!!!!!
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  naamini gharama za kozi yako ulizipata chuo ulichosoma...waonaje kama ukitafuta online vyuo vinavyotoa kozi hizo utakazo then ukafanya mawasiliano na vyuo husika kujua gharama zake.
   
 4. M

  MINAKI Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mimi nakushauri ufanye kozi ya Community Development ndugu! Thanks
   
 5. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama tatizo ni ghalama jaribu ujinga.
   
 6. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaka tatizo si gharama ila ukijua gharama mapema ni rahisi kujipanga
   
Loading...