Wanajamii,
mimi nimesoma degree ya kwanza bsc education (math).nimepata nafasi ya kusoma masters ya computer science. Napenda sana maswala ya computer sasa naomba mnishauri thamani ya coz hii katika maisha yangu ya baadaye.nashukuru

Kapige kitabu ndugu kwanza. kisha ukimaliza tafuta kazi katika vyuo,Utakuwa HISABATI/ COMPUTER, katika chuo zaidi ya kimoja (kama unausafiri na unaishi Dar, Kilimanjaro au Arusha) ukifundisha kumbuka wataalamu wa Hisabati ni tatito la kitaifa na wakati huo huo unaendele na deals zingine za maswala ya computer.
Mimi nina BED Science ( PHYSICS/CHEMISTRY), Ila target ni kujikita katika maswala ya COMPUTER kwani ndio interest yangu. Hivyo nitakapo apply for masters sito soma masomo ya edu.
Kwa kifupi ukimaliza masomo yako utakuwa katika nafasi nzuli zaidi ya kutengeneza fedha.
Ukiamua unaweza coz kwa maisha ya kileo technology muhimu sana ila kwa computer science kama mkwanja una ruhusu jichange ukasome kunakotolewa elimu hiyo bongo watakusomesha notes tupu bila yakujua kuwasha pc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.