Mkuu ANDO is the best ever, mkuu nimeezekea naelekea mwaka wa 2.Habari wadau,
Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.
Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi
BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema uaminifu sasa ni 00 kwani WAPO walozitumia na sasa ni nyeupe na walinunua kwa mawakala trusted.
KIBOKO anaaminika kiasi kwani anaingia na kutoka sokoni kwa ubora
BATI ZA KAWAIDA
SIMBA DUMU wengi wanazisifia sana ila mafundi wanaelezea changamoto ya migongo ya mwisho kuacha uwazi. (390k kwa bando)
ROOFING
Mpaka sasa sijapata changamoto yoyote ya bati hizi zinatokea Uganda na wengi wanazisfia mafundi wakiwemo 400k kwa bando
Ziada:
ANDO
Huyu ni mgeni sokoni anaonekana ni bora (hamna ushahidi mana Hakuna reference) ila serikali kamuamin kampa tenda ya ikulu Dodoma (sio sababu mana 10% hua inahusika pia) bei yake sasa maaaaaaaa bati moja la migongo ya kawaida anauza 49k🚶
Niende WAPI
KARIBUNI.
Sky Eclat nimeenda ANDO bati ya geji 30 migongo midogo 49k (geji 30) yani wao wenyewe wanakiri ni ngumu kwa mtanzania wa kawaida kuchukua hizo bati..... Zaidi ya 10k kwa bati za alaf kwa geji na muundo sawaMabati kwa price list ya kiwandani
Nini kinafanya bati za kiwanda kimoja kuwa na bei tofauti? Wakati material ni yale yale,kiwanda hicho hicho na machine hizo hizo! 1.Gauge(unene wa bati) Hiki ni kigezo kikubwa sana katika kutofautisha bei bati hilo hilo ,material hayo hayo,rangi hiyo hiyo ila 26gaug itauzwa bei kubwa kuliko...www.jamiiforums.com
Sorry mkuu, hiyo Simba Dumu bando kwa Tshs 390k, zinakuwa bati ngapiHabari wadau,
Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.
Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi
BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema uaminifu sasa ni 00 kwani WAPO walozitumia na sasa ni nyeupe na walinunua kwa mawakala trusted.
KIBOKO anaaminika kiasi kwani anaingia na kutoka sokoni kwa ubora
BATI ZA KAWAIDA
SIMBA DUMU wengi wanazisifia sana ila mafundi wanaelezea changamoto ya migongo ya mwisho kuacha uwazi. (390k kwa bando)
ROOFING
Mpaka sasa sijapata changamoto yoyote ya bati hizi zinatokea Uganda na wengi wanazisfia mafundi wakiwemo 400k kwa bando
Ziada:
ANDO
Huyu ni mgeni sokoni anaonekana ni bora (hamna ushahidi mana Hakuna reference) ila serikali kamuamin kampa tenda ya ikulu Dodoma (sio sababu mana 10% hua inahusika pia) bei yake sasa maaaaaaaa bati moja la migongo ya kawaida anauza 49k[emoji124]
Niende WAPI
KARIBUNI.
Ahsante kwa ushauriKwa kijijini tulitumia haya
View attachment 1900631
Dragon amegawanya bati zake kwa grade tatu tofauti (bati ya geji na muundo sawa) kuitambua ipi ni ipi ni MTIHANI na wafanyabiashara wanatumia room hiyo kutupiga.... Labda uweke uzoefu wako Pia hapaTafuta bati za wachina zinaitwa DRAGON ni nzuri na bei yake ni rafiki
Wanauza kwa square meter si kwa bari moja mojaAndo bei ni kubwa sana aseeee bati 48k migongo midogo HAPANA
Nikitu bora mkuu.Bei ya ANDO kaka wanaua sana