Naomba ushauri pls!

Ukipenda njigi utataka kuziita njege...
Hivi kwa nini watu hupenda tu kuzaa na mtu pasipo kupima upendo wao kwanza kwa watu hao???
Hivi kwa nini huwa hamtizami nafasi ya mtoto atakayezaliwa???
Mnatesa malaika wa Mungu bure kwa tamaa za ujanani.

mie nimechoka kabisa, tamaa zisizo na faida
 
King'ast pls b serious bhana,hii inshu c ya hvyooo

samahani lakini, mi naiona ya hvyooo (whatever that means). Ila ujue mwosha huoshwa, siku ya kuoshwa kwako uniambie nije na kokoko na nipake wanja wa sina bwana.
 
Ukipenda njigi utataka kuziita njege...
Hivi kwa nini watu hupenda tu kuzaa na mtu pasipo kupima upendo wao kwanza kwa watu hao???
Hivi kwa nini huwa hamtizami nafasi ya mtoto atakayezaliwa???
Mnatesa malaika wa Mungu bure kwa tamaa za ujanani.

issue ya msingi ni kuwa kama unajua haumpendi mwenza wako, unafanyaje nae mapenzi? Unaingiaje kwenye mahusiNo wakati unajua haumuenzi mwenza wako na aliekupiga chini bado yuko moyoni?
 
Mmmh mpaka moyo umedunda,dah acha nilee mwanangu

unamleaje wakati unaishi na mwanamke mwingine hapo? Na alikuacha mara ya kwanza kwa kiburi na dharau, unategemea hatokuacha tena?
 
Ukipenda njigi utataka kuziita njege...
Hivi kwa nini watu hupenda tu kuzaa na mtu pasipo kupima upendo wao kwanza kwa watu hao???
Hivi kwa nini huwa hamtizami nafasi ya mtoto atakayezaliwa???
Mnatesa malaika wa Mungu bure kwa tamaa za ujanani.
i guess hukuona uzi ambapo mtu alisema ni vizuri kutest na kupata mtoto wa 'ujanani' kabla ya kuoa mwanamke mwingine ili kujua kama wewe ni rijali au la. sisemi kuwa mtoa mada kafanya hivyo lakini kuna wanaoamini kuwa that is 'right'
 
Miaka 25 duuuuh bado mduchu sana....subiria ukue ukue tena ndo utapata au kujua nn unataka...mtoto asiwe kigezo naamin anaeza akapata malezi mazuri ya single parent if u real care of toto,kaa tafakari na amua coz its ya life usiamue na Moyo mtoto wa kiume cheza na akili yako maana una long way to go..
 
Nimewaelewa wote ila kiukwel mtt alipatikana kpnd tukiwa hatujapanga,kpnd nikiwa nampnd sana kabbla ya kuanza tabia zake za kimachame,nimefikilia mwa kutumia akili n bora nikae na mzaz mwenzangu maana ameshajicommit kwangu na anarecord nzur.ya tabia yofaut na yule nimpendae kwa moyo ambae back ground yake n mbaya sana,c mnaelewa watt wa kota.
Nimewaelewa na hakika mmenishaur vzur thnx ila kwa mlionielewa vibaya ckuwa na maana mbaya kwan ninachokifanya n kizur kuliko kua cngle maaana nikiwa na mtu ndan vng naacha kwan ss No clubn no parting ambazo nokiwa mwenyewe huwa hata cjui pesa imepitia wapi n starehe tu.ndg yhnx my.frnds thnx a lot
 
Hizi tamaaa hizi....!akitokea na mwingine wa mtwara,naye utampenda na kuja kuuliza kati ya wa mwanza arusha na mtwara hujui ukae na yupi coz wampenda wa mtwara sana!dogo acha tamaa,kuwa mwanaume,amua moja,acha kutanga tanga!
 
Binafsi nachukia sana hiyo tabia.
Umemkuta mdada wa watu chuchu saa sita baada ya kumzalisha na kuzishusha unaleta zako.
Halafu wajifikiria wewe tu hivi umeshakaa ukamuwazia huyo mtoto.
Embu chukua hatua haraka

Ivi kila anayezaa lazima chuchu zishuke??!
 

Dada gfsonwin njoo bana kuna mtu analeta mchezo na likabila letu
 
Last edited by a moderator:

soma kwa makini ulichokiandika kweye hii post #27 isha rudi nenda kasome post#1 mbona unatufanya kama sie watoto wenzio??

NIMESHUKURU SANA MUNGU KWAMBA MMACHAME ANAKUONYESHA KWAKE HESHIMA YA HELA MBELE. HAKUNA KUFUJA WALA KULEWA LEWA HOVYO NDO MANA UNAONA JEURI.
 
Kosa kubwa ulilofanya ni kurudiana na huyu mzazi mwenzio!,ulitakiwa uwe mbali naye! Sasa kufanya vile inaonyesha jinsi usivyo na msimamo! SIKILIZA MOYO WAKO UNAVYOKWAMBIA! Viva!!
 
nn tena broda?
ngoja kwanza niupitie kisha nirudi na chehcee.
Btw mzima wewe? vp x-mass?

Ndo maana mi nataka kuoa mmachame ngoja nieke bandiko aisee.

Xmas mbaya kwangu siend mamndenyi kuhesabiwa na mbege sijui ntakunywa wapi na ivi bibi hajantemea mate mwaka mzima...sad kwa kweli.
 
Ndo maana mi nataka kuoa mmachame ngoja nieke bandiko aisee.

Xmas mbaya kwangu siend mamndenyi kuhesabiwa na mbege sijui ntakunywa wapi na ivi bibi hajantemea mate mwaka mzima...sad kwa kweli.

hahahah! umwoe mmachame??
nakuomba umuoe MKISII ndo atakufaa.
 
Kwa sababu mapenzi ni furaha ni vyema kuwa na mtu unaye mpenda kutoka moyoni na pia uzingatie upendo wake kwako!
 
Thnx all,im doing dc for my daughter!acha nilee mtt liwalo na liwe maana nikifanya langu mtt ataumia kwa kukosa matunzo bora
Thnx kwa ushaur wenu
hicho ndo ulikua umesahau kama na mama wa mtoto wako mleee mtoto ewnu
 
i guess hukuona uzi ambapo mtu alisema ni vizuri kutest na kupata mtoto wa 'ujanani' kabla ya kuoa mwanamke mwingine ili kujua kama wewe ni rijali au la. sisemi kuwa mtoa mada kafanya hivyo lakini kuna wanaoamini kuwa that is 'right'

Basi kazi kweli ipo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…