Naomba ushauri, Nina Diploma GPA 2.9 na nimekataliwa kujiunga na digrii

Sijajua kwa Dip aliyosoma. Ila kwa Education, ni rahisi kupata GPA ya 4.0 Level ya Degree ila sio GPA ya 3.0 kwa level ya diploma!!
Diploma ya education unaifahamu au unaisikiaga mkuu?? Nikupe Kazi upitie matokeo ya Mwaka wowote then uje na idadi ya gpa ya 3.0 kwenda juu mkuu
 
Diploma ya education unaifahamu au unaisikiaga mkuu?? Nikupe Kazi upitie matokeo ya Mwaka wowote then uje na idadi ya gpa ya 3.0 kwenda juu mkuu
Niliisoma pale Tukuyu TC miaka 6 iliyopita mtihani ukitolewa na NECTA. Degree pia nilisoma. Kama ugumu naujua na matokeo nayajua. Labda kama unazungumzia Dip ya BRN!!
 
Diploma ya education unaifahamu au unaisikiaga mkuu?? Nikupe Kazi upitie matokeo ya Mwaka wowote then uje na idadi ya gpa ya 3.0 kwenda juu mkuu
Pia labda kama umesoma hiyo Dip hivi karibuni. Ila kwa sisi wa Zamani kupata GPA ya 3.0 ilikuwa ni kazi. Uliza walimu watakwambia! Wengi wana 2.0 hadi 2.8
 
Pia labda kama umesoma hiyo Dip hivi karibuni. Ila kwa sisi wa Zamani kupata GPA ya 3.0 ilikuwa ni kazi. Uliza walimu watakwambia! Wengi wana 2.0 hadi 2.8
Miaka haijaenda mno Lakini Nina gpa ya 2.9 aiseee so mie sio wa muda mno coz kama ni shimo wamechimba na wengi wataangukia humo
 
Dip ya ualim iko tofaut na zingne na ina validity kubwa sn,, coz hii iko under necta sio nacte, na kulikua na mtihan wa mwisho ambao ni sawa na ule wa form 4 au 6..huwez kulinganisha na dip zingine ambazo ziko kwenye mfumo wa coz work na mwl ndio necta, ana uhuru wa kukufaulisha au kukufelisha..mm nmesoma dip ya ualim nkpt gpa ya 3.2 but nko degree mwk wa 3 nina gpa ya 4.0, so u compare weight.
 
in addition dip ya ualimu ilikua ikisimamiwa na ndalichako hd 2013, akiwa ktb mkuu necta.
 
Narudia tena; ni rahisi sana kupata GPA ya 4.0 level ya Degree ila ni ngumu zaidi kupata GPA ya 3.0 level ya Diploma in Education!!

Mi naona wangewachukua hata wenye 2.5!!
 
Ahsanteni jamani kwa ushauri wenu,,,naamin hili tatizo limetukuta wengi tulio maliza miaka ya nyuma wale kwa namna moja au nyingine hatukendelea na masomo ya degree ktk mwaka husika,,ki ukweli uwezo wngu darasani naujua sijisifii ila nipo vizuri ata kwenye hyo gpa ya 2.9 ukiangalia core subjects zote nimefanya vizuri,,na kwa mwaka ambao nilimaliza masomo ple IFM watu wengi wa course ya uhasibu walipata Gpa za kawaida sna kutokana ugumu wake, waswahili wanasema kila mwaka na mambo yake kwa vile nilisoma kwa juhudi zote naamin ipo siku mungu atafanya njia,,, nimejaribu kupitia website ya vyuo mbali mbali vilivyopo kenya na ungada nimeona nna vigezo vyote kusoma hko naamin siku moja ntaenda hko kimasomo


ReportEditDelete
+ QuoteReply
 
eheee kwaiyo maza kawapoteza raia wapo kitaa hawajuh wafanyaje we nenda tcu unapoteza muda wako tu subiri mwakani au risiti diploma upate iyo gpa ya 3
Hivi diploma kuna utaratibu wa kurudia,,,,sidhani kama upo hio ndio imetoka.
 
yote maisha metudi hii serikali sijuh maamuz haya kwenye hii sekta ya elimu naona yapo kimya kimya sana
 
Tatizo ni fedha kwani kipindi kile niliomba na admission nilipata pale IFM ila sikuwa na fedha ya ada so sikuendelea yaan ata darasan sikugusa kwa kuwa sikuwa na uhakika kabisa kama ntakuja kupata, nilikuja kupata kazi mwaka 2014 so hapo ndipo nlipo anza kujipanga ili nije nisome bachelor evening program
Bac fight kwa hilo ndugu yangu hakuna njia nyingine mungu atakusimamia tu ucjar na malengo yako yatatimia tuuu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
acheni hasira vijana huu mchezo hauhitaji hasira .....kuweni wapole kama GPA yako sio 3.0 jaribu kuachana na mambo ya degree ....pitia kwingne......
 
Hata mimi nina gpa ya 3.0 lakini nimeomba nafasi ya degree na wameninyima! Mpaka sasa iv sijui hata jifanyeje. Nipo nipo tu
 
Hata mimi nina gpa ya 3.0 lakini nimeomba nafasi ya degree na wameninyima! Mpaka sasa iv sijui hata jifanyeje. Nipo nipo tu
itakuwa uliomba awamu ya kwanza kpind kile wamepanga 3.5 wakakufyeka .....sasa database yao wsmejisahau kuifanyia back up....
 
Usikatike maini ndugu, degree degree wacha wakae na degree zao basi...... we kama nini fanya mitihani ya bodi, kwa vile ulisomea Accountancy nahisi CPA inakuhusu, na ukimaliza unaheshima nzuri tu. Degree yenyewe haina ishu
 
ALAFU WEWE UNAZINGUA ACHA AENDE KUULIZA MBONA ILIKUWA GPA 3.5 WAKAPUNGUZA MPAKA 3
hvi unafikiri ile cas inajaribiwa na deadline ilikuwa jana so kama kuna mabadiliko wanatoa tangazo hajakizi vigezo soma guide book ya tcu
 
Sijajua kwa Dip aliyosoma. Ila kwa Education, ni rahisi kupata GPA ya 4.0 Level ya Degree ila sio GPA ya 3.0 kwa level ya diploma!!
Mkuu hao hao Nacte wanacmamia form 4 na 6 lakni mbona watu wanapata div 1?.Swala la ela ni jingine ila hili swala la GPA jamaa aliteleza, ila hata hvyo njia mbadala bado zpo nyingi atulze kchwa tu nakupambana. Kuna nchi jirani pia, akubali kujichanga ingawa itamchukulia mda kwa malengo na mipango yake. ILA SWALA LA GPA hapo alipata ndogo tena IFM napajua vyema.
 
Back
Top Bottom