Tunaomba ushauri kwa mwanafunzi aliye hitimu diploma anataka kujiunga Degree

Afro king

JF-Expert Member
May 23, 2020
427
428
Habari za saizi wakuu

Ninandugu yangu alihitimu diploma ya record management GPA 4.4 mwaka jana 2021/2022 na anahitaji mwaka huu ajiunge degree na alisoma iyo course ya Record baada ya kuwa selected na TAMISEM na akupata Muongozo wa iyo course inahusiana kutokana na famikia zetu izi za kimasikini na kwasasa alitaka kujiunga na degree na option yake ni ... bachelor in...

1. Business Administration
2. Public Administration
3. Human Resources Mgmnt
4.Gender and development
Au Project planing and development

✴Kwa mimi sina uelewa zaidi na izo course ila naomba kwa mwenye uelewa ampe muongozo kwa course ipi itamfaa apo au kama ni zote azimfai na ipi unaipendekeza....ili aanze mchakato wa kuomba..🏳

#Karibuni kwa maoni na ushauri wenu🙏
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom