Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

May una vitu unavirudia Kila uendapo kufanya Interview Jarbu kuwa Bora KULKO Jana

Either usifany mazoea
 
Nilitaka kuongea kitu kama hiki ila umeniwahi.
Pamoja na kujifunza makosa mbalimbali anayoyafanya mtoa mada kwenye interviews mbalimbali lakini pia anatakiwa kubadilisha aina za kampuni anazoomba kazi.
Yaani awe anaomba kazi kwenye kampuni mbalimbali mchanganyiko za wazungu,za waafrika,za wachina yaani isiwe miaka yote analazimisha kuomba Tanesco na Tanroads tu.
Mimi mwenyewe miaka ya nyuma nilipoteza sana nauli zangu na muda wangu kwenda kwenye interviews za hao watu na michujo yote nilikuwa napita halafu baada ya kufanya oral interview inakuwa kimya hakuna feedback,baadae nikaja kugundua ni wasanii tu nikaachana nao.
Sasa hivi napambana kivingine kabisa.
Kwa hiyo inawezekana mtoa mada huwa anafaulu hizo interview ila sehemu anapoombea kazi ndio sio sehemu sahihi.
Kuna mdau hapo juu kaeleza vizuri sana, yafanyie kazi. Lkn pia nakushauri ukiitwa interview uende kimya kimya kafanye kisha kaa kimya. Maana interview nyingi za kibongo zinafanywa for formality tu, wanakuwa wana watu wao tayari. Unless hiyo kampuni mtu mweupe/foreigners ndo wenye maamuzi ya mwisho. Omba Mungu, Fanya tu kisha endelea na mambo yako mengine.
 
Mkuu uliyoyaongea yana ukweli lakini kwa huyu mtoa mada hayatamsaidia.
Atakesha mwaka mzima lakini hayatamsaidia.
Kwa maelezo yake anakwambia interviews zote anazoitwa anaperform vizuri tu na haoni ugumu wowote wa maswali lakini kwenye kazi haitwi.
Maana yake kwenye hizo taasisi husika wanachomeka watu wao kwa kujuana ndio kitu kinachomsumbua huyu kijana.
Kwa hiyo mimi siwezi kumshauri kutoa rushwa ila ajitahidi kutengeneza connection na watu mbalimbali pia awe anaomba kazi kwenye makampuni ya aina tofauti tofauti Mungu atambariki atafanikiwa jambo lake.
Kufanya kitu kile kile, kwa namna ile ile halafu kutegemea matokeo tofauti ni uwendawazimu (ni tafsiri yangu binafsi isiyo rasmi kwa maneno aliyowahi kuyasema mwanazuoni mmoja).

Katika hizo interview zote ulizofanya, je kila baada ya interview ulikua unafanya analysis na kuibua gaps ulizoziona kwa namna ulivyofanya interview na kujiboresha zaidi kwa interview inayofuata?

You have to be better with each interview that you attend. Is that the case? For example, can you say confidently kuwa you were better in your 9th interview compared to how you performed in your 2nd interview?

Huwa unafanya utafiti kuhusu organization uliyoitwa interview na kuhusu role uliyo apply? Huwa unaenda kwenye interview ukiwa unajua ABCDs za hiyo kampuni na unajua the job description ya nafasi uliyoomba?

Je, huwa unauliza maswali ukipewa nafasi ya kuuliza maswali (mara nyingi at the end of the interview)? Wengi huwa wanapoteza hii nafasi adhimu na kujibu kuwa hawana swali lolote, na hivyo kuwa wamepoteza chance adimu ya kuwaimpress wanaomu interview kwa kuwauliza maswali fikirishi kuhusu kampuni, na kuhusu role aliyoiomba.

What to do now?
1. Nakushauri, 'look in the mirror'. Kaa chini tafakari kwa kina na Fanya analysis Wewe mwenyewe kwa interviews ambazo umehudhuria mapungufu yako yalikua ni yapi? (Be fair and positive to urself). Use a pen and paper and list down ur weaknesses from the analysis of ur interviews, and for each weakness make a plan and decide on how u are going to improve on it

2. List down the commonest interview questions that you have faced so far (write down the commonest 10 questions which are the commonest that you were asked in your interviews)

3. Now, start working on the 10 questions and use various resources to find out the best answers to those questions (use You tube videos, internet sources and various experts in HR sector). Then make sure you have framework answers for those questions.
4. Next time you are invited for an interview, make sure you practise on how to answer such questions and other possible questions kulingana na position. Practise, practise, practise and practise.

I think I have written too much.
mchai
 
Zidisha maombi na punguza dhambi zako
Mkaribie Mungu wako nae atakukaribia
 
Pole na hongera ,mie nilikuwa naitwa kila interview tena jina la kwanza kabsa karibia zote ,na written nafanya vyema na sijawah toka top 5 kama wanachukua kuanzia 10 kwenda kwenye oral nimefanya sio chini ya saba kazi. Sipati kabsaa

Ila nikichojifunza nilikuwa Niko very happy kuingia top 10 na sipati frastuation nikikosa kazi kuliko kutoingia top 10 kwan kuna siku sikuingia niliumia vibaya mnoo

Ilaa nilichokuwa najisemea mie sio mbaya kwenye usaili sema sina bahati au siku yangu na njia yangu haijafika ,nafuta machozi naendelea na Mishe mishe huku nikiwa nimeweka msimamo hakuna usaili unaonihusu sintohuzulia au hakuna kukata tamaaaa .yote kwa yote siku database ikanikumbuka Mimi na rafiki angu

Ushuari ;: ukikosa Leo utapata kesho ya Leo sio ridhiki yako msingi endelea kuomba mungu na kutokata tamaa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Pambana na kwenye maisha upate top life
 
unajua hivi vitu havina formular

Kuna siku nilihudhuria interview huku nnaumwa kabisaa, sikujiandaa kwa chochote yaani nilienda mimi kama mimi na hata kuna mtu alinipigia simu nikiwa njiani, kwa kusikia sauti tu akanishawishi nirudi home tu maana itakuwa ngumu kwangu..

Kilichotokea nilienda na nikafanya interview kama mtu wa kwanza katika panel ya watu watano makini tu lakini huwezi amini, nilipewa assurance kwenye interview on the spot japo walinambia watanipigia simu the next day kwa info zaidi..

Hivyo usikate tamaa tu, ukishaitwa kwenye interviews inamaanisha tayari una potential ya kupata kazi. Be the last person to give up on YOU
 
Kufanya kitu kile kile, kwa namna ile ile halafu kutegemea matokeo tofauti ni uwendawazimu (ni tafsiri yangu binafsi isiyo rasmi kwa maneno aliyowahi kuyasema mwanazuoni mmoja).

Katika hizo interview zote ulizofanya, je kila baada ya interview ulikua unafanya analysis na kuibua gaps ulizoziona kwa namna ulivyofanya interview na kujiboresha zaidi kwa interview inayofuata?

You have to be better with each interview that you attend. Is that the case? For example, can you say confidently kuwa you were better in your 9th interview compared to how you performed in your 2nd interview?

Huwa unafanya utafiti kuhusu organization uliyoitwa interview na kuhusu role uliyo apply? Huwa unaenda kwenye interview ukiwa unajua ABCDs za hiyo kampuni na unajua the job description ya nafasi uliyoomba?

Je, huwa unauliza maswali ukipewa nafasi ya kuuliza maswali (mara nyingi at the end of the interview)? Wengi huwa wanapoteza hii nafasi adhimu na kujibu kuwa hawana swali lolote, na hivyo kuwa wamepoteza chance adimu ya kuwaimpress wanaomu interview kwa kuwauliza maswali fikirishi kuhusu kampuni, na kuhusu role aliyoiomba.

What to do now?
1. Nakushauri, 'look in the mirror'. Kaa chini tafakari kwa kina na Fanya analysis Wewe mwenyewe kwa interviews ambazo umehudhuria mapungufu yako yalikua ni yapi? (Be fair and positive to urself). Use a pen and paper and list down ur weaknesses from the analysis of ur interviews, and for each weakness make a plan and decide on how u are going to improve on it

2. List down the commonest interview questions that you have faced so far (write down the commonest 10 questions which are the commonest that you were asked in your interviews)

3. Now, start working on the 10 questions and use various resources to find out the best answers to those questions (use You tube videos, internet sources and various experts in HR sector). Then make sure you have framework answers for those questions.

4. Next time you are invited for an interview, make sure you practise on how to answer such questions and other possible questions kulingana na position. Practise, practise, practise and practise.

I think I have written too much.
mchai
Nilitaka kuweka maneno.. Naona umechambua vema sana.
Hongera kwa kumshauri vzr.
 
Kama ulivyoelekezwa tafuta hayo maswali ambayo ni common kwenye interview ulizoattend halafu jaribu kujirecod kama unayajibu kwenye interview.
Fuatilia kila neno unavyolitamka na linavyopaswa kutamkwa sababu kazi nyingine zinahitaji uwe na communication skills nzuri sasa kama unatamka tu maneno kivyovyote unakosa marks.
Lakini pia relax kabisa kwenye interview usipanie Sana.
Jiandae vizuri, tumia muda mwingi kujiandaa, jiamini na weka moyoni kwamba nafanya nikipata kazi sawa nilikosa Maisha yanaendelea.
Kama swali umeulizwa hulijui kuwa honest kwamba hili Sina ufahamu nalo usijibu tu mradi.
Jipange ni swali gani ukipewa nafasi ya kuwauliza utauliza. Usiache hiyo nafasi ya kuwauliza swali.

Pia kwenye swala la kiingereza tafuta role model wako unayependa anavyoongea (awe native speaker).
Fuatilia namna anavyoongea kwenye kazi zake mbali mbali anza kuongea kingereza kama yeye. Jirekodi mara nyingi wakati unaongea itakusaidia kupata confidence.
 
Well, to each his own.

Maana na mimi pia kazi zote nilizopata so far (nimeshafanya kazi mashirika matano so far); Zote nimezipata kwa kupitia kuitwa interview na kufaulu interview, na sijawahi kupata kazi kwa connection. King_mwanamalundi[/US
[/QUOTE]

Well, to each his own.

Maana na mimi pia kazi zote nilizopata so far (nimeshafanya kazi mashirika matano so far); Zote nimezipata kwa kupitia kuitwa interview na kufaulu interview, na sijawahi kupata kazi kwa connection. King_mwanamalundi
Comments za Jamiiforums.

kupata kazi kwa connection sio kwamba huna uwezo. Semeni tu ukweli.
 
Mtoa mada nikutie moyo tu kwamba usichoke kuatendi interview, wakati wako ukifika hakika Mungu wetu ni mwingi wa rehma atakujaalia.

Kuna Siku nilikuta na Dada mmoja ambaye amesoma kozi ya community development akawa anahihadithia vile amesota kuipata kazi aliyokuwa akifanya,aliniambia kuwa hadi kupata kazi alikuwa keshafanya interview 20 na kesha tembea sana katika kusotea kazi,akiwa katika hali ya kukata tamaa aliitwa kwenye halmashauri Fulani,nafasi zilikuwa tano lakini waloitwa walikuwa 100 hakika alitaka kusita kwenda.

Kwa kuwa Mungu wetu ni mwingi wa fadhira kuna Sauti toka within ilimwambia aende tu kwa ile interview, amini nakuambia bahati nzuri ilikuwa upande wake ,kwa ile usairi alifaulu na kupata kazi.

Mwisho ,Kwa interview ulizofanya Mimi naona bado sana,jipe moyo utafanikiwa tu.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Comments za Jamiiforums.

kupata kazi kwa connection sio kwamba huna uwezo. Semeni tu ukweli.
Huo ndo ukweli wangu mkuu kwa nini nidanganye?
Kuna uzi wangu mmoja nimeelezea kwa kirefu sana juu ya hustle zangu za interviews na kutafuta kazi.... Nitakuwekea link.
Sio kwamba sijawahi kudunda interviews, nimedunda nyingi mnooo.....! Ila pia ni ukweli kuwa sijawahi pata kazi kwa connections. That is my truth. Uamuzi ni wa kwako, endelea kuamini kuwa unakosa kazi kwa sababu unaonewa kwenye interviews kazi zinatolewa kwa kujuana, and do nothing to improve yourself; OR You can also decide that you are going to work on ur interview skills to increase ur chances when u are called for interviews.
 
Soma Uzi wangu huu hapa kijana

King_mwanamalundi
 
Kufanya kitu kile kile, kwa namna ile ile halafu kutegemea matokeo tofauti ni uwendawazimu (ni tafsiri yangu binafsi isiyo rasmi kwa maneno aliyowahi kuyasema mwanazuoni mmoja).

Katika hizo interview zote ulizofanya, je kila baada ya interview ulikua unafanya analysis na kuibua gaps ulizoziona kwa namna ulivyofanya interview na kujiboresha zaidi kwa interview inayofuata?

You have to be better with each interview that you attend. Is that the case? For example, can you say confidently kuwa you were better in your 9th interview compared to how you performed in your 2nd interview?

Huwa unafanya utafiti kuhusu organization uliyoitwa interview na kuhusu role uliyo apply? Huwa unaenda kwenye interview ukiwa unajua ABCDs za hiyo kampuni na unajua the job description ya nafasi uliyoomba?

Je, huwa unauliza maswali ukipewa nafasi ya kuuliza maswali (mara nyingi at the end of the interview)? Wengi huwa wanapoteza hii nafasi adhimu na kujibu kuwa hawana swali lolote, na hivyo kuwa wamepoteza chance adimu ya kuwaimpress wanaomu interview kwa kuwauliza maswali fikirishi kuhusu kampuni, na kuhusu role aliyoiomba.

What to do now?
1. Nakushauri, 'look in the mirror'. Kaa chini tafakari kwa kina na Fanya analysis Wewe mwenyewe kwa interviews ambazo umehudhuria mapungufu yako yalikua ni yapi? (Be fair and positive to urself). Use a pen and paper and list down ur weaknesses from the analysis of ur interviews, and for each weakness make a plan and decide on how u are going to improve on it

2. List down the commonest interview questions that you have faced so far (write down the commonest 10 questions which are the commonest that you were asked in your interviews)

3. Now, start working on the 10 questions and use various resources to find out the best answers to those questions (use You tube videos, internet sources and various experts in HR sector). Then make sure you have framework answers for those questions.

4. Next time you are invited for an interview, make sure you practise on how to answer such questions and other possible questions kulingana na position. Practise, practise, practise and practise.

I think I have written too much.
mchai
siku iz ni connection kaka,,
Interview ilikuaga zaman
 
Unatemaga madini sana humu jf. Endelea kutumezesha mkuu tupo pamoja
 
Nashuku saaana tena saaana kwa ushauri wako mkuu naiman nitaufanyia kazi kuanzia ivi sasa na juu yaa kuulizwa katika interview unaswali? Ni kweli nimekutana nalo saana ili swali mwisho wa mahojiano mala ya mwisho nkumbuka ilikua arusha, nikawajibu sina swali.
Unaona sasa mkuu? Hayo ndo mambo ya kuyafanyia kazi sasa brother, sio kulalama kwamba kazi ni za kujuana, sijui connections.
Sasa nikwambie, mimi nilishawahi kwenda kwenye interview, I nailed it kisawa sawa, niliwa impress sana wale waliokua kwenye panel. Mwishoni kabisa, wakaniuliza una swali lolote kwetu? Sasa hapo ndo nikapigilia msumari wa mwisho. I had some data kuhusu project ya hiyo organization ambayo ndo ilikua na nafasi iliyotangazwa, nikauliza swali kutokana na zile data zao, swali la pili nikaongelea kuhusu project yao nyingine ambayo imeisha.
Sasa kumbe tayari kulikua na MTU wao wamemuandaa ambae ni ndugu wa mmoja wa waliokwepo kwenye panel. Kwa uwezo niliounyesha kwenye interview, ile panel ilipasuka vipande viwili kuhusu kwamba wanichukue mimi au wampe dogo wa mwenzao!!
I am talking about that level of impression brother....!! Usikubali kuwa ordinary au kuwa mtu wa kulalama tu kwamba unakosa kazi kwa sababu hujuani na watu au huna connections. Fanyia kazi mapungufu yako, and be at your best for each interview!
mchai
 
Mkuu uliyoyaongea yana ukweli lakini kwa huyu mtoa mada hayatamsaidia.
Atakesha mwaka mzima lakini hayatamsaidia.
Kwa maelezo yake anakwambia interviews zote anazoitwa anaperform vizuri tu na haoni ugumu wowote wa maswali lakini kwenye kazi haitwi.
Maana yake kwenye hizo taasisi husika wanachomeka watu wao kwa kujuana ndio kitu kinachomsumbua huyu kijana.
Kwa hiyo mimi siwezi kumshauri kutoa rushwa ila ajitahidi kutengeneza connection na watu mbalimbali pia awe anaomba kazi kwenye makampuni ya aina tofauti tofauti Mungu atambariki atafanikiwa jambo lake.
Umejuaje hayatamsaidia?
Kaperform vizuri kivipi? Wakati ukiangalia comment aliyonijibu yeye mwenyewe ameshakiri kuwa huwa haulizi maswali akipewa hiyo nafasi (Hilo tayari ni kosa moja kubwa sana ambalo linaweza kukufanya kila siku ikawa unahudhuria tu interview na hupiti stage hiyo,na kubaki kulalama kuwa kazi ni za kujuana). I am sure akijifanyia analysis zaidi yeye mwenyewe atagundua mapungufu zaidi.
Hakuna ubaya katika ushauri wa kutengeneza connections na watu, ni ushauri mzuri sana. Ila pia, yeye kufanyia kazi interview skills zake na kuwa bora zaidi na zaidi kila siku ni muhimu zaidi.
mbu wa dengue
 
Back
Top Bottom