Naomba ushauri, nimkopeshe hela huyu binti au niache?

Naomba ushauri, nimkopeshe hela huyu binti au niache?

Am resident of Nairobi,

"Kwahiyo wewe ni Mwanaume wa Darisalama?"

Hakuna hoja hapo maana una hiari moja kati mbili toa chapaa ugegede au seppa uipotezee papuchi.

Akili Mukichwa!
 
Mwanamke hakopeshwi hela anko, kuna mwanamke nimemkopa 30000 nikaambiwa nitapewa jumapili jumapili zimepita kama 50 hivi mpaka sasa.
 
Ushaanzwa kuitwa sweetheart alafu umkopeshe ela then utarajie kurudishiwa?embu acha ulipukeni..hilo sio suala LA kuombea ushauri APA.
 
Kama unazo mpe usimkopeshe... mpaka amalize deni... kodi nyingine ishafika.. atakuomba tena..
 
Back
Top Bottom