Naomba ushauri, nimezoea kuendesha automatic sasa juzi nimepata manual Vitz

Hii scenario imenikuta sana pale kwenye kamwinuko pale kutoka rafia kuelekea tegeta kwenye mataa ya mbuyuni. Kelele nlizopigiwa pale mpaka nikazima gari na kuwasha hazard.

Hapo kwenye kuswitch clutch na mafuta ndio panapochanganya yaan
Hahaa manual mimi siipendei hapo tu yani ukifika kwenye muinuko na kuna foleni kijasho kitakutoka wakati kuna A.C.

Jinsi ya kubalance moto na brake ndio kisanga mkuu.

Kuna kipindi nilikuwa naendesha terrios manual gear halafu handbrake yake ilikuwa na shida asee nilikuwa napata tabu mpaka miguu inatetema.

Kwa situation yako gari haina shida ni wewe bado hujajua kubalance mafuta na clutch. Manual ya petrol inazima kidogo tu ukisinzia kwenye mafuta.
 
Hahaha.
Pamoja sana mkuu
 
Naomba ushauri, nimezoea kuendesha automatic sasa juzi nimepata manual Vitz.
Kila nikisimama kwenye foleni hapa dsm foleni ikiachia gari inazima, nilidhani ni technical problem lakini fundi akaniambia sio problem.
Hivi tatizo ni nini inazima nikiwa nataka kuondoka baada ya kusimama kwenye foleni.
Ni kilometer au mwendo kiasi gani ili niweze kubadilisha gear.
Ww sio dereva n mnyooshaa stering huwez kujua automatic car ukasemaa ww n dereva hapaana kabsa
 
Naomba ushauri, nimezoea kuendesha automatic sasa juzi nimepata manual Vitz.
Kila nikisimama kwenye foleni hapa dsm foleni ikiachia gari inazima, nilidhani ni technical problem lakini fundi akaniambia sio problem.
Hivi tatizo ni nini inazima nikiwa nataka kuondoka baada ya kusimama kwenye foleni.
Ni kilometer au mwendo kiasi gani ili niweze kubadilisha gear.
Driving skul ulijifunzia auto..sio siri ulienda poteza pesa ya kusoma
 
Hii scenario imenikuta sana pale kwenye kamwinuko pale kutoka rafia kuelekea tegeta kwenye mataa ya mbuyuni. Kelele nlizopigiwa pale mpaka nikazima gari na kuwasha hazard.

Hapo kwenye kuswitch clutch na mafuta ndio panapochanganya yaan
Ukikutana na foleni kwenye mwinuko, tumia handbrake
 
Naomba ushauri, nimezoea kuendesha automatic sasa juzi nimepata manual Vitz.
Kila nikisimama kwenye foleni hapa dsm foleni ikiachia gari inazima, nilidhani ni technical problem lakini fundi akaniambia sio problem.
Hivi tatizo ni nini inazima nikiwa nataka kuondoka baada ya kusimama kwenye foleni.
Ni kilometer au mwendo kiasi gani ili niweze kubadilisha gear.
Sidhani kama unaweza kujifunza kwa kupitia maandishi, anyway good luck ila kama ningekuwa bongo ningekusaidia na ukajua ndani ya siku mbili au moja kama kichwa chako ni chepesi na ukizingatia unaweza kuendesha Auto
 
Mkuu hata kama akitumia Neutral /free lazima akija kuondoka atumie clutch,
Ni kweli lazima atumie clutch Ila Kwenye kuondoka ni Bora aanze Kwenye namba 2 mojakwamoja..Kwa mfano kama upo Kwenye foleni unasimama gari ikiwa Kwenye Gia namba 2 huku umekanyaga breki na clutch na ukitaka kuondoka unatoka nayo hivyohivyo bila ya kutumia namba 1
 
Shida ipo pale kwny kuachia clutch afu kurudisha mguu kwny wese hapo ndipo uchawi ulipo kubalansi mambo...

Mie nilijufunza driving ten years ago ila sijagusa tena manual ila ninachojua manual uchawi wale upo kwny kuondoka tu ikishashika mwendo haina tofauti na auto...

Mtoa mada usiombee ukute folen ya kilimani afu wa nyuma yako kaa zero distance huwa patamu hapo
Umenichekesha sana,
Kama huna uzoefu tumia handbrake au simama kwa kubalance clutch na mafuta bila kutumia break.
 
Ukikutana na foleni kwenye mwinuko, tumia handbrake
Ume consoder kuwa kuna handbrake zile za kukanyaga na mguu? Achia clutch huku umeshika break mpaka level ambayo gari inataka kujongea na wala haizimi (kuna ka mtetemo kiasi) kiasi kwamba ukitoa mguu kwa break kuelekea mafuta gari hairudi nyuma then unaongeza mafuta ukizidi kuachia clutch polepole kitu kinasepa bila hiyana.
 
Driving skul ulijifunzia auto..sio siri ulienda poteza pesa ya kusoma
Wengi driving tunajifunzia manual ila sasa tukishatoka driving miaka inapita bila kuendesha manual kama unavyojua gari ndogo nying pendwa hazina version za manual gari ndogo za manual ninazofahamu ni vitz na starlet ambazo sio machaguo pendwa kwa vijana wengi na vijana wengi hatuwezi kumudu bei ya SUV ambazo nying zina matoleo ya manual so unajikuta tu gari ya manual hiwezi kuimudubkwa kuwa kuwa hujatumia mda mrefu zaidi ya shule tu...
 
Sidhani kama unaweza kujifunza kwa kupitia maandishi, anyway good luck ila kama ningekuwa bongo ningekusaidia na ukajua ndani ya siku mbili au moja kama kichwa chako ni chepesi na ukizingatia unaweza kuendesha Auto
Shukran sana mkuu. Ukija bongo tutaftane bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom