Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Ndio maana nimehamia kwa ma-celebrity, huku chai tupu
Yani hili jukwaa kwakweli uongo mwingi hadi ina kera mimi sikuhizi si comment mpaka nione nyayo za tyta ,philagy na watu8. Duuu ina katisha tamaa!
Naona na mwenye thread katoweka!
 
Kabla watu hawajafunguka inaonekana hii ni made up story kutokana na ushahidi wa Tyta na watu8 hapo juu,kijana usiwe unapenda kupoteza muda wa watu hapa!

hii ni ya kweli vp unaweza kunithibitishia ushahidi wowote kuwa huu ni uwongo
 
asante kwa utunzi wako mzuri umenipotezea muda wangu japo.
 

kipinda cha mwanzo sikujua kuwa ni dada yangu ila sasa naona kinyaa kumwingia dada yangu tena wa damu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…