Naomba ushauri nimevamiwa baa.

Bundajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
244
Reaction score
47
Nipo Mtekenyo bar naendelea kupiga kitu cha Castle Lager mara anakuja dada mmoja wa kiarabu na kukaa na mimi na kuanza kuniagizia bia kwa kwenda mbele. Nifanyeje ili kumkimbia kwasababu nahisi usalama wangu uko mashakani.
 
Muulize kama ana undugu na Osama
 
Nipo Mtekenyo bar naendelea kupiga kitu cha Castle Lager mara anakuja dada mmoja wa kiarabu na kukaa na mimi na kuanza kuniagizia bia kwa kwenda mbele. Nifanyeje ili kumkimbia kwasababu nahisi usalama wangu uko mashakani.

Mtekenyo Bar saa hizi ulizopost hii thread....?
 
Ndo maana thread zako hazichangiwi sana.za kivulana mno! Washtaki kwa meneja
 
Wewe anza kupasha moto makalio yako. Vidume vya kisomali hivyo, vya bure vitakutokea puani leo eeenh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…