Naomba ushauri nimepoteza uwezo wa kujiamini

Naomba ushauri nimepoteza uwezo wa kujiamini

Nimepitia mambo mengi sana ya ajabu-changamoto nyingi sana

Ni kijana mdogo tu miaka 27 lakini niliyopitia yanatisha.

Kwa sasa naona kabisa nimepoteza uwezo wa kujiamini,nashindwa kuisimamia misimamo yangu

Kila kitu naona kama kinafeli kabla hakijaanza.

Nashindwa kusimamia kile nachokiamini,nabadilishwa na mitazamo ya watu na changamoto za kawaida.

Nawezaje kujiamini tena
Jitahidi ubaki na unachokiamini.. Kwakuwa mwisho wa siku wewe ndio utabaki na maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah....mbona mmeenda kwenye mapenzi moja Kwa moja 😅😅



Unajua hata tatizo la kiafya linaweza kuwa sababu hivyo basi tusisite kumwambia hii collective name (wanaume hatukati tamaa,mwanaume ndiye mwenye uwezo wa kupainua palipo lala,mwanaume ndiyo anaweza tenda paliposhindikana.Amen na mungu atatusaidia kama alivyosaidia mababu zetu)
 
Back
Top Bottom