I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 389
- 576
Hawa jamaa ni shida huu mwaka wa pili sasa kutoka laki 3 wameongeza 20000Kama unafanya kazi kwa Mhindi mkuu, na sasaivi umepata mtaji nakuambia kwa moyo mkunjufu kabisa nenda kajiajili kimbia kabisa uko mkuu nawajua hao watu
Fresh imekaa poa hii mkuuUsiache kazi kabla biashara yako haijasimama kwa miguu miwili. PIA ukiendelea kubaki na kazi yako utakuwa una source mbili za mapato kwa muda flan mpka biashara yako itakapo simama...
Ushauri huu hapaUsiache kazi kabla biashara yako haijasimama kwa miguu miwili. PIA ukiendelea kubaki na kazi yako utakuwa una source mbili za mapato kwa muda flan mpka biashara yako itakapo simama...
Sawa mkuu shukranWapo sahihi na wew upo sahihi,shida ni upi muda wa kufanya lipi.
Fungua genge endelea na kazi mpka pale utakapoona linaweza kuendesha maisha yako kuliko kazi unayofanya.
Hayo ya motivational speakers kuwa ukiamini basi itakuwa achana nayo maana utajua hujui pale utakapoacha kazi na biashara haienda huku mtendaji anakuletea kadi ya mjasiriamali kwa 20,000.
Hahaha sawa mkuu iyo imekaa poaDo this. Usiache Kazi, lkn husika na biashara Yako 100%...
Mtaji wa million na nusu mzee ni mkubwa cjatomba hovyo mm cjahonga kiboya nimejikza balaa.Sasa ushaingia gharama zote hizo ndio unaomba ushauri? Laki 3 ya muhindi ndogo sana huo mtaji umeupata wapi? Punguza kukurupuka fikiria kwa kina vinginevyo utafeli vibaya.
Ushauri wako ni mzuri lakini jamaa atasagika hasa.Do this. Usiache Kazi, lkn husika na biashara Yako 100%.
Amka mapema zaidi nenda sokoni kanunie mzigo wako. Ufikishe gengeni na panga bei zako na take note kwenye daftari. Kisha wewe nenda job.
Jioni ukitoka nenda kwenye hiyo side hustle yako- genge kapige mahesabu na iweje Mambo sawa huku ukichukua kiasi Cha kesho Cha kuingia sokoni Alfajiri tena.
Nakurudia tena usiache Kazi huku unaingia kwenye side hustle mpya kwa miguu yote miwili. Ajira ni mbaya ukiwa nayo. Ukitoka kiboya utasaga na kung'ata meno na ukirudi hapa hatutasita kukunyoosha.
Me kweli niko dar hapaUshauri wako ni mzuri lakini jamaa atasagika hasa.
Kama yupo dar hii narudia tena atasota sana kufanya vyote kwa wakati mmoja.