Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea..
Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala kuteseka...
Ajabu imepita miaka miwili lkn najikuta naumia sana juu yake na sina mawasiliano nae na nahofia kumtafuta maana atakuwa kwenye mahisiano au ndoa kabisa ..najishangaa ninavomuaza hivi had nakosa usingizi sijawah kumpenda mwanaume kiasi hiki ..
Najiona labda nataka kupata changamoto ya afya ya akili..kwa ambae amewah kupitia shida kama hii anishauri..tatizo nmepata kibarua mkoa ambao nmesomea na tangu nmekuja ndo Hali inazid kuwa mbaya naona noma kumtafuta mahali alipo ataniona najipendekeza maana yeye ndio alianza kuacha kunitafuta..na naamini hana hisia na Mimi lkn najishangaa ninavompenda