Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Mkuu na wewe una PhD km Dr Matola PhD ?Atalilipaje bila kutafuta pesa si ndio aende akazitafute ili alipe deni
Mkuu na wewe una PhD km Dr Matola PhD ?Atalilipaje bila kutafuta pesa si ndio aende akazitafute ili alipe deni
Tunaodaiwa na TALA, Branch, Voda songesha na Tigo nivushe unatushauri nini?Ndiyo, ni muhimu kwamba mtu huyo atafute njia za kufanya kazi na kupata pesa za kulipa deni lake kabla ya kufanya maamuzi makubwa ya kifedha kama vile kuhama kwenda nchi nyingine. Hata hivyo, kwa kuwa mwajiri wake anashughulikia gharama za malazi, chakula na bima, hii inaweza kumsaidia kuokoa fedha zake na kuzitumia kulipa deni lake. Ni muhimu pia kwamba atafute ushauri wa wataalamu wa fedha ili kumsaidia kusimamia deni lake na kuunda mpango wa kulipa deni hilo
Labda hatufahamu madhara ya kuwa na madeni. Deni linaweza kuwa hatari kwa sababu linaweza kuleta athari mbalimbali kwenye maisha ya mtu. Hapa ni baadhi ya sababu:
Hivyo basi, ni muhimu kuzingatia umuhimu wa kulipa madeni kwa wakati na kutafuta ushauri wa kitaalamu wa kifedha pale inapobidi. Anaweza kumsaidia kuelewa chanzo cha deni na kumpa maelekezo sahihi ya kifedha jinsi ya kufanya mipango ya malipo, kuongeza mapato na kupunguza matumizi ya kila siku ili kuweza kulipa deni lake kwa ufanisi.
- Riba: Kukopa fedha kunaambatana na riba ambayo huongeza gharama ya deni na kufanya kulipa kiasi kikubwa zaidi ya pesa kuliko kiasi cha awali kilichokopwa.
- Kupoteza uwezo wa kumudu: Kukopa pesa kunaweza kusababisha kuwa na malipo ya kila mwezi, na kusababisha matatizo ya kifedha iwapo mtu hatapata kipato cha kutosha kulipia madeni.
- Kuathiri heshima ya mtu: Kama mtu hawezi kulipa madeni yake, hii inaweza kusababisha kuathiriwa kwa heshima yake na kushusha hadhi yake katika jamii.
- Kuathiri uwezo wa kupata mikopo: Kama mtu anashindwa kulipa madeni yake, hii inaweza kusababisha kuwa na rekodi mbaya ya mikopo na hivyo kuathiri uwezo wa kupata mikopo ya baadaye.
Ungedadavuwa in details ungesaidia wengi sana.Ushauri wangu usiende kwa kiasi hicho,
1.Utalala ktk camp zaidi ya watu sita chumba kimoja, wengi wao watakua wahindi.
2.Watakubagua kwa kuwa wewe ne Mu-Africa
3.Waajiri wengi wa namna hiyo wanakuambia watakupatia huduma ulizozitaja lkn wengi wao hawatimizi, itabidi utoe ktk mshahara wako.
4.Gharama za usafiri ni kubwa.
Kwa ujumla utatumika mpaka uchakae
HeheheheMaelezo ni mengi lakini hakuna asiyejua dawa ya Deni ni kulipa, atalipaje kama biashara alizotegemea zimesimama ndio hiyo plan B inakuja hapo,
Akamtafute mtaalam wa kifedha ili amwambie jinsi ya kufanya mipango ya malipo kwani wakati anakopa hakua na mipango? na huyo mtaalam atataka alipwe pia,acha masikhara bhana
Wasema Zimbabwe,Wazimbabwe naona wao wakipata hiyo michongo wanakimbia haraka wanajua njia moja ufungua ingine ukiwa umejifungia Bandani huwezi kujua fursa za huko Nje...
Usijifunge mkataba wa muda mrefu ili ukiona sio ukimalizana na huyo utapata sehemu ingine au kazi ingine Nje ni Nje Mazee...
M natafuta agent wa kuaminika nami nipae uko uko.. bongo nishachokaWasema Zimbabwe,
Zanzibar tu hapo tunasema population yao ndogo, wengi wamekimbilia Nchi za Nje wametapakaa kila kona na wanavutana balaa,
Hiyo Burundi sasa umeiona? Soon itaifikia SA vijana kwa Wazee wamekimbilia Nje na kwa pamoja wanashindana kuijenga Nchi yao, Bujumbura inakua kwa kasi sana,
Sie bado tunasita sita kwenda Mashariki tu hapo.
SureMkuu usirudi nyuma, Mwanzo wa hisabu siku zote huwa ni moja. Ukishafika huko nirahisi kufanikiwa kupata kazi ya kipato cha juu zaidi kuliko kuisubiria hapa.
Ila ujiandae kisaikolojia, Maisha Dubai ni expensive sana, So Mwanzo uta straggle sana mpaka kufikia hatua ya kupata utulivu. Ila aliyekwenda kenda, wapo kibao wameshatoboa na walianzia kama hivo. Uvumiliuvu unahitajika.
Na jengine Dubai ni nchi ya Starehe sana, na starehe zake ni gharama. So Kuwa makini sana vyenginevyo unaweza kurudi mtupu huku.
Ulifanikiwa...?M natafuta agent wa kuaminika nami nipae uko uko.. bongo nishachoka