Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,755
- 19,945
Mungu akutangulieKaka ndio nasubiri soon Nita kuja na mresho Kaka
Mungu akutangulieKaka ndio nasubiri soon Nita kuja na mresho Kaka
Mkuu we ni dereva?Acha uoga nenda huko Duniani,
Humu waweza kutishwa tishwa sababu wabongo wengi mfumo wetu wa malezi ni kufungiwa ndani na sio kutolewa kuiona Dunia,
Kama kuna mchongo mwingine wanahitaji madereva wa kike nipatie niende.
Usiende harakanenda haraka.
Ndiyo, ni muhimu kwamba mtu huyo atafute njia za kufanya kazi na kupata pesa za kulipa deni lake kabla ya kufanya maamuzi makubwa ya kifedha kama vile kuhama kwenda nchi nyingine. Hata hivyo, kwa kuwa mwajiri wake anashughulikia gharama za malazi, chakula na bima, hii inaweza kumsaidia kuokoa fedha zake na kuzitumia kulipa deni lake. Ni muhimu pia kwamba atafute ushauri wa wataalamu wa fedha ili kumsaidia kusimamia deni lake na kuunda mpango wa kulipa deni hiloAtalilipaje bila kutafuta pesa si ndio aende akazitafute ili alipe deni
Nkem OwohVijana wengi wakienda huko hufanywa kuwa sex slaves na wanapakwa makeup 💄 kabisa
Ndio,Mkuu we ni dereva?
Ndiyo, ni muhimu kwamba mtu huyo atafute njia za kufanya kazi na kupata pesa za kulipa deni lake kabla ya kufanya maamuzi makubwa ya kifedha kama vile kuhama kwenda nchi nyingine. Hata hivyo, kwa kuwa mwajiri wake anashughulikia gharama za malazi, chakula na bima, hii inaweza kumsaidia kuokoa fedha zake na kuzitumia kulipa deni lake. Ni muhimu pia kwamba atafute ushauri wa wataalamu wa fedha ili kumsaidia kusimamia deni lake na kuunda mpango wa kulipa deni hilo
Labda hatufahamu madhara ya kuwa na madeni. Deni linaweza kuwa hatari kwa sababu linaweza kuleta athari mbalimbali kwenye maisha ya mtu. Hapa ni baadhi ya sababu:
Hivyo basi, ni muhimu kuzingatia umuhimu wa kulipa madeni kwa wakati na kutafuta ushauri wa kitaalamu wa kifedha pale inapobidi. Anaweza kumsaidia kuelewa chanzo cha deni na kumpa maelekezo sahihi ya kifedha jinsi ya kufanya mipango ya malipo, kuongeza mapato na kupunguza matumizi ya kila siku ili kuweza kulipa deni lake kwa ufanisi.
- Riba: Kukopa fedha kunaambatana na riba ambayo huongeza gharama ya deni na kufanya kulipa kiasi kikubwa zaidi ya pesa kuliko kiasi cha awali kilichokopwa.
- Kupoteza uwezo wa kumudu: Kukopa pesa kunaweza kusababisha kuwa na malipo ya kila mwezi, na kusababisha matatizo ya kifedha iwapo mtu hatapata kipato cha kutosha kulipia madeni.
- Kuathiri heshima ya mtu: Kama mtu hawezi kulipa madeni yake, hii inaweza kusababisha kuathiriwa kwa heshima yake na kushusha hadhi yake katika jamii.
- Kuathiri uwezo wa kupata mikopo: Kama mtu anashindwa kulipa madeni yake, hii inaweza kusababisha kuwa na rekodi mbaya ya mikopo na hivyo kuathiri uwezo wa kupata mikopo ya baadaye.
Sometimes unaweza mcheki hata mwanao na akakuelekeza vizuri.Maelezo ni mengi lakini hakuna asiyejua dawa ya Deni ni kulipa, atalipaje kama biashara alizotegemea zimesimama ndio hiyo plan B inakuja hapo,
Akamtafute mtaalam wa kifedha ili amwambie jinsi ya kufanya mipango ya malipo kwani wakati anakopa hakua na mipango? na huyo mtaalam atataka alipwe pia, acha masikhara bhana
Nakubaliana na wewe dawa ya deni ni kulipa. Hata Tommy Thommas katika nyimbo yake na Stamina Shorwebwenzi na One Six-Yote Tisa, amechana, “…man utabadili njia kwa jirani ufate miba, utabadili line usiwe hewani nikipiga, utakimbia mtaani watakudai kwenye msiba; Yote Tisa dawa ya deni ni kulipa ndio shida”Anaweza kumsaidia kuelewa chanzo cha deni na kumpa maelekezo sahihi ya kifedha jinsi ya kufanya mipango ya malipo, kuongeza mapato na kupunguza matumizi ya kila siku ili kuweza kulipa deni lake kwa ufanisi.
…ana contract. Basi ni sawa, jamaa aende zake maana bongo maisha yamemkataa.Contract wamekutumia usije kaingia kwenye mtego wa Trafficking in person ukaenda kutumikishwa kazi za ndani
Wezi ni washenzi sana aiseh sitasahau siku napigiwa simu dukani kwangu kumevunjwa wamesomba hadi shanga🤣🤣🤣🤣🤣.Wakuu poleni na majukumu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, nimepambana sana bongo nikafanikiwa kujenga kibanda na kununua gari ndogo Mambo yalikuwa vizuri lakini baada ya Samia kuingia madarakani ndipo Mambo yalipoanza kuharibika...
Asante Sana kakaMaelezo ni mengi lakini hakuna asiyejua dawa ya Deni ni kulipa, atalipaje kama biashara alizotegemea zimesimama ndio hiyo plan B inakuja hapo,
Akamtafute mtaalam wa kifedha ili amwambie jinsi ya kufanya mipango ya malipo kwani wakati anakopa hakua na mipango? na huyo mtaalam atataka alipwe pia, acha masikhara bhana
una uhakika chief ? nipo huku sjawahi ona na UAE inamchanganyiko wa wafanyakaz kaz Toka nchi zote DunianVijana wengi wakienda huko hufanywa kuwa sex slaves na wanapakwa makeup kabisa
Karbu mkuu ....make sure wizara ya kazi wanapitia huo mkataba piaKazi uhahika nasiweI enda mpka nisome mkataba nielewe ikiwezekana niende na mwanasheria wangu kaka tusome wote mkataba
Kila la heri kiongozi. Maana isije ikawa kumbe unaenda kutolewa figo, pasipo wewe mwenyewe kujua, halafu mwisho wa siku ukarejeshwa nchini ukiwa ndani ya jeneza.Kaka udereva ndio mchongo nilio pata kwa Sasa lakini by profession Mimi ni IT mkuu