Naomba ushauri: Nataka kununua godoro zuri la kulalia

Magodoro Dodoma ndio yenyewe,yaani hata kama ulikuwa mbugani unasafiri nalo na ghafla likaanguka na likakanyagwa na Tembo haliharibiki...
 
Ndugu zangu salam.

Nataka ninunue godoro la kulalia mim mwenyewe, nataka godoro jipya Size 5/6 nchi 8

Nimepitia thread za magodoro humu nimeona nyingi ni za zamani sana hivyo nikafikiri ninahitaji currently views kwamba kwa sasa ni magodoro gani bora na imara zaidi?

Bajet 200,000-250,000. Mahali ni Mbeya.

Ahsanteni.
mkuu kuna godoro nililiona pale songwe airport ni hataree ila ni traffic unene wa kabati
 
Ndugu zangu salam.

Nataka ninunue godoro la kulalia mim mwenyewe, nataka godoro jipya Size 5/6 nchi 8

Nimepitia thread za magodoro humu nimeona nyingi ni za zamani sana hivyo nikafikiri ninahitaji currently views kwamba kwa sasa ni magodoro gani bora na imara zaidi?

Bajet 200,000-250,000. Mahali ni Mbeya.

Ahsanteni.
Godoro bora kwangu ni DODOMA tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magodoro ya kulalia sio mazuri chukua magodoro ya kusimamia hasa upate ya kimburu au kirangi
 
Mimi nlikuwa ni muza magodoro hapo nyuma agizia daresalam godoro la tandform arusha hutajutia hela yako ulio itoa ukishindwa nunua godoro la (dodoma quality form limited) ukishindwa tena nunua super banco hayo magodoro hutajutia hela yko na niwashauri nunua godoro lenye foronya ya kawaida au ambalo halina foronya achana na maurembo godoro lililo dizainiwa na dhani umenielewa.
Vzr mkuu hapo kwenye Tanform nakubaliana na ww 100
 
aisee kuna godoro unalala kama uko juu ya jiwe! kuwa makini mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom