Ni godoro gani zuri na imara Tanzania?

katibu12

Member
May 12, 2020
12
7
Baada ya mavuno ni matumizi, naombeni msaada nina bajeti ya sh 250,000, naweza kupata godoro gani imara na la kudumu 5*6 inchi 8 ambalo haliweki shimo ukilalia na mtoto maana sitaki aibu, si mnajua vijana kutwa Mara tatu kama panado.

Asanteni, angalizo mimi nataka ushauri kununua naenda kununua mwenyewe madukani.
 
Tafadhali fika Bariadi upate godoro safi lililotengenezwa kwa maranda ya mbao hutajuta wala hutaumwa mgongo, ukitaka kuongeza watoto ndio mwake na ndoto nzuri za utajiri utapata kila siku, Bei ni Tsh 5,000/= tu ....Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom