Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,704
Eeh sasa utafungua kiwanda na 50M!?Kwa maana iyo yeye alianza moja kwa moja na mtaji mkubwa!?
Eeh sasa utafungua kiwanda na 50M!?Kwa maana iyo yeye alianza moja kwa moja na mtaji mkubwa!?
Connection za kuagiza mizigo nje ni ishu mkuuAgiza nje mashine kama printer, lamination na etc. Utaweza nunua kwa bei nafuu sana kuzidi huku kama hauna haraka maana mzigo kutokea nje utachukua mpaka mwezi kufika kwa meli