Naomba ushauri, naogopa kumuoa huyu mwanamke

Umeshazaa kwani?

Kuachana na mzazi mwenzio na msirudiane kukutana kimwili mpk kifo inawezekana Sana,, sio wote wanashindwa acheni kujumuisha
Kuna sehemu kwenye comment yangu nimeandika "wapo wenye misimamo"

Sijajumuisha,acha kunisingizia!
 
Mnapendana sana oaneni baba watoto wake ana mke,n yy atakuwa n mume ..sio wanawake wote hawaachani n baba watoto wao .the good thing about hyo wake anaishi nnje
 
Mkuu naitaji ushauri
Nikushauri tu kwamba kama jamaa na huyo mwanamke walitarikiana kwa kupeana taraka basi unaweza kumuoa kulingana na matakwa yako lakini kama alimuacha tu kwa maneno na akaondola kwenda nje ya nchi huyo bado anatambulika kuwa mke wake siku aikirudi na kuanza kudai mke wake nina hakika hutauweza kuusuluhisha huo msanga.
 
Kama unampango wa kuoa mke zaidi ya mmoja OA....kama ndo Ile kufa na kuzika
 
Ukiona mwanamke amembebea mimba mwanaume ujue alimpenda sana kupita kiasi, me huwa siamini kuwa kuna mimba za bahati mbaya tofauti na zile za kubakwa tu na zile za wale ambao hawakupita shule hata hawajui mizunguko yao ya hedhi vinginevyo yote ni hiari ya mwanamke mwenyewe,
sasa kajichanganye kuwa waliachana na hawawezi rudiana uone kama machozi na magonjwa ya moyo hayatakuwa sehemu ya maisha yako, I hope umenielewa
 
Nikushauri tu kwamba kama jamaa na huyo mwanamke walitarikiana kwa kupeana taraka basi unaweza kumuoa kulingana na matakwa yako lakini kama alimuacha tu kwa maneno na akaondola kwenda nje ya nchi huyo bado anatambulika kuwa mke wake siku aikirudi na kuanza kudai mke wake nina hakika hutauweza kuusuluhisha huo msanga.
Okay mkuu but still walikuwa bado sio mke na mume wa ndoa
 
Ukiona mwanamke amembebea mimba mwanaume ujue alimpenda sana kupita kiasi, me huwa siamini kuwa kuna mimba za bahati mbaya tofauti na zile za kubakwa tu na zile za wale ambao hawakupita shule hata hawajui mizunguko yao ya hedhi vinginevyo yote ni hiari ya mwanamke mwenyewe,
sasa kajichanganye kuwa waliachana na hawawezi rudiana uone kama machozi na magonjwa ya moyo hayatakuwa sehemu ya maisha yako, I hope umenielewa
Sawa mkuu nimekuelewa sana
 
Wanawake wengi wenye watoto wanachamoto nyingi Sana,amua mwenyewe mkuu ila kwa Mimi hapana kabisa hiyo ni Kama kumiliki shamba lenye mgogoro.
Sawa mkuu nimekupata vyema
 
Ikiwa ningetakiwa kukushauri ningesema "HUYO MUACHE KABISAAAA! KATA MAZOELA NAE". Ila Kama unataka kujifunza Mambo mengi kuhusu maisha endelea kuwa nae. (Ana umri gani?)...
 
Ukiona mwanamke amembebea mimba mwanaume ujue alimpenda sana kupita kiasi, me huwa siamini kuwa kuna mimba za bahati mbaya tofauti na zile za kubakwa tu na zile za wale ambao hawakupita shule hata hawajui mizunguko yao ya hedhi vinginevyo yote ni hiari ya mwanamke mwenyewe,
sasa kajichanganye kuwa waliachana na hawawezi rudiana uone kama machozi na magonjwa ya moyo hayatakuwa sehemu ya maisha yako, I hope umenielewa
Nimefifunza kitu hapa
 
Ikiwa ningetakiwa kukushauri ningesema "HUYO MUACHE KABISAAAA! KATA MAZOELA NAE". Ila Kama unataka kujifunza Mambo mengi kuhusu maisha endelea kuwa nae. (Ana umri gani?)...
Ana 26
 
Usimuone kwa sababu unaogopa na uoga huu hautakaa uishe tena mkikaa mkazoeana 6months na zaidi utakuwa TOXIC husband huyo dada na mwanae watateseka. Hata ukipewa ushauri na yoyote usimuoe tayari moyo wako hautaki mwenye mtoto acha.
Kumbuka wapo walioana fresh ila ndo wanasumbua mitaani kwa kuchepuka, kuzaa nje kuachana n.k.
 
Kama unahisi anakufaa oana na'e. Ila kama unahitaji ushauri "let her go". Au you may prove us wrong Ni sahihi pia! Na utakapoamua kumuoa ujue umeshajipima na kuona unaweza kubeba madhaifu yake. Nakutakia tafakari njema...
 
Usimuone kwa sababu unaogopa na uoga huu hautakaa uishe tena mkikaa mkazoeana 6months na zaidi utakuwa TOXIC husband huyo dada na mwanae watateseka. Hata ukipewa ushauri na yoyote usimuoe tayari moyo wako hautaki mwenye mtoto acha.
Kumbuka wapo walioana fresh ila ndo wanasumbua mitaani kwa kuchepuka, kuzaa nje kuacha
Mwanamke na mtoto wanaweza wasiteseke Ila akawa anateseka sana yeye...Haya mambo yanahitaji ujasiri Sana katika kufanya maamuzi...
 
Wako wanawake wengi sana mtaani hawajazaa, usioe huyo single mother utalia sana hapo badae
 
Usiwasikilize hao looser ...sio single maza wote wanakuwaga na shida wengine wapo poa tu! Na wanajielewa. Mi binafsi mwaka wa tisa huu na single mother na bado tupo poa tu!
Vizuri ...

Mungu aendelee kuwafanyia wepesi kwenye mahusiano yenu
 
Back
Top Bottom