Godfrey phares
Member
- Apr 15, 2015
- 16
- 3
- Thread starter
- #21
Unafahamu kuwa adhabu ya kuwa spy ni kunyongwa? Endapo ukitumwa kuspy nchi fulani ukigundulika, nchi zilizo nyingi adhabu watoayo ni kunyongwa.
Sijamaanisha ulichokielewa wewe walio nielewa nazani umeona wamenijibu. Usikurupukie kitu jaribu kulegeza akili uelewe hata kam kuna makosa ya uandishi.