Naomba ushauri, nahitaji kuwa speaker, informer & psy

Joined
Apr 15, 2015
Posts
16
Reaction score
3
Habari zanu wapendwa ninachohitaji ni ushauri na Hata msaada kwa ambaye anaweza kunisaidia kufikia ndoto zangu. Nina Ndoto zakuja kuwa Speaker,motiveter & informer hasa katika mambo yanayo izunguka jamii yangu na Nafsi yangu inaamini nina iyo Taranta na nguvu ya kufanya hivyo vitu ila nashindwa nianzie wapi na ntapata wap ushirikiano au hata group ambalo lina jihusisha nahayo maswala. Ili nijiunge nao tufikie lengo moja na nitimize adhima yangu.
 
Tusubiri wenyewe
 
Tumia muda mwingi kusoma vitabu mbali mbali, jiunganishe na watu wenye uelewa na kubobea kwenye taaluma tofauti tofauti. Unaposikia jambo au kukabiliana nalo, jitahidi kuwaza au kutoa mawazo yako binafsi bila kufuata mkumbo, hata kama utakua tofauti na wengine, usiogope kutoa maoni yako. Usiwe na kiburi na dharau. Usiogope kukosea ila makosa yaliyoenda shule sio kufanya uzembe, la mwisho, kaa mbali na siasa.
 
Katafute kazi ya utangazaji, uta speak na ku motivate dunia hadi uchokeeeee ulale..

Fanya kazi radioni utaongea all words. But chunga ulimi wako usivuke mipaka na kuvunja sheria yoyote.. Good luck..!!
 
Tumia muda mwingi kusoma vitabu mbali mbali, jiunganishe na watu wenye uelewa na kubobea kwenye taaluma tofauti tofauti. Unaposikia jambo au kukabiliana nalo, jitahidi kuwaza au kutoa mawazo yako binafsi bila kufuata mkumbo, hata kama utakua tofauti na wengine, usiogope kutoa maoni yako. Usiwe na kiburi na dharau. Usiogope kukosea ila makosa yaliyoenda shule sio kufanya uzembe, la mwisho, kaa mbali na siasa.
Actual sina mpango na political matters my nahitaji ku deal na jamii na kuhusu kusoma ni mpaka sasa nimesoma vitabu vingi na hata elimu ninayochukua chuo ni inahusu pia mambo ya jamii ninachohitaji ni groups za watxap and organisation ambazo zitaniiunua from my individual effort
 
Habari zanu wapendwa ninachohitaji ni ushauri na Hata msaada kwa ambaye anaweza kunisaidia kufikia ndoto zangu. Nina Ndoto zakuja kuwa Speaker,motiveter & informer hasa katika mambo yanayo izunguka jamii yangu na Nafsi yangu inaamini nina iyo Taranta na nguvu ya kufanya hivyo vitu ila nashindwa nianzie wapi na ntapata wap ushirikiano au hata group ambalo lina jihusisha nahayo maswala. Ili nijiunge nao tufikie lengo moja na nitimize adhima yangu.
Anza na u MC kwanza upate uzoefu
 
Actual sina mpango na political matters my nahitaji ku deal na jamii na kuhusu kusoma ni mpaka sasa nimesoma vitabu vingi na hata elimu ninayochukua chuo ni inahusu pia mambo ya jamii ninachohitaji ni groups za watxap and organisation ambazo zitaniiunua from my individual effort

Mkubwa, inawezekana ukasaidiwa lakini tatizo kwa siku za hivi karibuni hatuaminiani sana hapa jamvini, hasa pale linapokuja suala la groups na kufahamiana. Lakini nia yako njema haitafifia, utafanikiwa tu hata nje ya JF.
 
Asante mkuu
 
Kuwa msomaji mzuri wa vitabu na makala zenye tija.
Kwakuwa umesema upo chouni, hakikisha kwenye presentations mnazopaswa kufanya kama kundi, wewe unapata nafasi ya kuwasilisha mada pale mbele.

Ukiwa darasani pia, changia ama uliza maswali. Ila usifanye ili tu upate uwezo huo, hakikisha unachouliza kina tija, uliza kwa ustaarabu na angalia na nature ya walimu wako pia.

Shiriki katika mijadala na makongamano yanayofanyika hapo chuoni kwenu. Katika mijadala hiyo, soma juu ya mada husika, kisha omba nafasi ya kuchangia ama kuuliza swali nk

Jiunge na umoja wa wanafunzi uliopo hapo shuleni, mfano AISEC, UNA, nk. Ukiwa humo shiriki kikamilifu katika kuandaa na kutekeleza shughuli mbalimbali

Anzisha jukwaa lenye kujikita katika maswala yatakayokupa fursa ya kuwasilisha mawazo yako. Mfano, labda klabu ya kusoma vitabu chuoni kisha mnakuwa na siku moja katika mwezi mnakutana na kuwasilisha muhtasari wa vitabu mlivyosima.

Andika makala na share kwa wadau kwa njia mbalimbali. Hii haitakupa "platform" ya kuzungumza ila itakusaidia katika kufikiri kwa haraka, kupanga hoja na kuweza kujibu hoja. Hivi vitakusaidia kwenye "public speaking" unayoitarajia.

Share na jamii juu ya maswala mabalimbali ambayo unayafahamu kutokana na elimu na uziefu wako. Mathalani kama unasoma saikoloji angalia mada gani nzuri inayohusu labda namna bora ya kusoma na kukumbuka mambo. Kisha unawatafuta wenzako kadhaa mnajiandaa na kuomba nafasi katika shule mbalimbali ili kuwasaidia vijana kwenye kipengele hicho na vingine vingi.

Tuishie hapo kwa sasa
Naomba kuwasilisha
 
Asante. Ushaur mzuri
 
Funga sala sana ili Ndugai arudi akiwa kwenye mkebe ili urithi kiti chake.
 
Kuandika spy tu imekushinda utaweza kazi yenyewe sasa?
Yaan na mm nimeshangaa sana eti ni mwana chuo neno spy limemshinda neno talanta limemshinda. Sijui chuoni alisoma nn huyu.

Uandish tu ni shida eti.ndio atamotivate ama kuongea. Vijana hebu kabla ya kuomba Msaada kaachini tafakari kama.ule msaada unaoomba unafanana na Hali yako ya kiakili?

Jitafakari kama tu kuandika maneno sahihi kunakushinda je utaweza kujenga hoja ikaleta mashiko?
 
Kifupi na unataka kuwa mbeya au mpiga soga...
 
Habari zanu wapendwa ninachohitaji ni ushauri na Hata msaada kwa ambaye anaweza kunisaidia kufikia ndoto zangu. Nina Ndoto zakuja kuwa Speaker,motiveter & informer hasa katika mambo yanayo izunguka jamii yangu na Nafsi yangu inaamini nina iyo Taranta na nguvu ya kufanya hivyo vitu ila nashindwa nianzie wapi na ntapata wap ushirikiano au hata group ambalo lina jihusisha nahayo maswala. Ili nijiunge nao tufikie lengo moja na nitimize adhima yangu.
Unafahamu kuwa adhabu ya kuwa spy ni kunyongwa? Endapo ukitumwa kuspy nchi fulani ukigundulika, nchi zilizo nyingi adhabu watoayo ni kunyongwa.
 
Habari zanu wapendwa ninachohitaji ni ushauri na Hata msaada kwa ambaye anaweza kunisaidia kufikia ndoto zangu. Nina Ndoto zakuja kuwa Speaker,motiveter & informer hasa katika mambo yanayo izunguka jamii yangu na Nafsi yangu inaamini nina iyo Taranta na nguvu ya kufanya hivyo vitu ila nashindwa nianzie wapi na ntapata wap ushirikiano au hata group ambalo lina jihusisha nahayo maswala. Ili nijiunge nao tufikie lengo moja na nitimize adhima yangu.

HABARI,
"Godfrey phares,
Hongera kama umeshajua unayo hiyo Talanta na tayari umeshaanza kutumia mtihani uliobaki nao ni mmoja tu ili uingie kwenye huo ulimwengu na mtihani huo ni kuingia mwenyewe kutoka huko ulipo na kuingia mwenyewe kwenye ulimwengu huo sio kuingizwa.Usiishie njiani tumia upeo wako uwe mkamilifu zaidi.
Nakutakia kila kheri.

LUMUMBA
 
Shukrani.
 
Back
Top Bottom