Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

Nahitaji usaidizi wenu zaidi, ushauri na mawazo yenu nayahitaji zaidi, karibuni
 
Hello guys, habari za humu ndani wana JF.

Mi ni binti, nimemaliza form 6 mwaka huu na namshukuru Mungu nimefauru vizuri, nimepata dv 1 ya point 7 HGL, na niliapply vyuo baadhi na nimechaguliwa vyote including Udsm

Lakini napenda nipate scholarship nisome vyuo vyo nnje hasa nchi za ulaya, Canada au US, sababu ni ndoto yangu kubwa, na hua namuomba Mungu sana, nimefanya application baadhi, lakini kuna vitu nashindwa, naomba mwenye ujuzi wa kunisaidia jinsi kuapply scholerships please help me, naomben mnisaidie tafadhari, ushauri wenu baba, mama, kaka na dada zangu help me please, najua humu ndani watu wanafahamu nambo mengi, thats why naamini sana JF members. Karibunii na natanguliza shukurani.
Nenda jukwaa la matangazo madogo madogo utakutana na uzi wa Scholarships wa Bight and Genius Editors chukua contacts zao watafute.
 
Back
Top Bottom