Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Mm ni kijana npo katka harakati za kuanzsha an Association ambayo itakuwa based kwa wale watu ambao ni unemployed au hata waliokuwa employed ila ni katka kutowa sauti ya pamoja juu ya swala zma la kuondowa upungufu wa ajira kwa vjana ambao unawapeleka kwenye kuwa ma dependant na hata kuingya kwenye masusla ya ellegal lakin mpaka sasa hivi bhado cjajuwa my association objectives,sources of finance of my association na misaada mingne yoyote kwa anayejuwa juu ya hayo mambo plz naomba anisaidie mawazo wana jf
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Natanguliza shukrani zangu kwenu