Nyamiyaga
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 757
- 588
Amani ya Bwana iwe nanyi wana jukwaa la MMU,
Nielekee kwenye mada, kuna binti anakaa kwa mama akee mdogo ambapo ni jirani na sisi, japo Mimi nipo mbali kidogo na nyumbani
Nimebahatika kupata mawasiliano yaake na kiukweli kwa harakaharaka nahisi anaweza kua mwanamke wa ndoto yangu.
Nimejaribu kupitia social media tofauti ili kuona at least life style yaake kwa kiasi fulani inaonesha ni mwanamke mwenye maadili. Sijabahatika kukutana nae kutokana na mimi kua mbali nae japo ntajaribu kuomba ruhusa ili niweze kukutana nae.
Sasa wana Great thinkers wa jukwaa hili pendwa naomba USHAURI wena pamoja na mawazo yenu juu ya haya yafuatayo
1) Aina ya mazungumzo kati yangu na yeye ili nisiharibu mwanzoni
2) Ni sahihi kumpigia simu mala kwa mala ukizingatia kila mmoja anashinda kazini
3) Kwa kua hatujafahamiana muda mrefu, ni sahihi kwangu mimi kumuonesha nia mapema kua nataka kumchumbia na hatimae kumuoa
4)Kutokana na Uzuri waake na anavyopenda kujisitiri, naamini kabisa wanaomtafuta ni wengi, soo ni kipi naweza kufanya ili angalau ahisi mi ni naweza kua mwanaume tofauti na wengine.
USHAURI wenu na MAWAZO yenu ntayapokea kwa umuhimu mkubwa.
Niwatkie Juma pili njema.