Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

Kamwe usimwambie mtu ukweli wako wote atakuja kutumia kama silaha dhidi yako kuna mambo yanabaki kuwa yako binafsi
Dah umeniwahi nilitaka nimpe same advise,kila mara nimekuwa nikiwaasa watu hasa wanoanza haya maswala ya mapenzi kuwa mara karibu zote huwa hayataki ukweli,kwani watu huwa hawapendi kuwa na wapenzi waliotumika sana,sasa ukiweka ukweli hata mtu angekuwa anakupenda kiasi gani ladha yote huwa inaondoka.
 
Hizo ndo hasara za kusema ukweli kataka mapenzi.......
Uoni kwamba we na ye hamko sawa? We unajua utamu ye hajui
we ulidhani yule alieimba. "nidanganye*3 ,ukiniambia ukweli me ntaumia....." alikua anafurahisha genge eeh?
 
Usifanye chochote mwambie tu unampenda sana na usingependa akuache kwa sababu zilizotokea kabla hamjawa pamoja.

Last edited by a moderator:
Kwa kifupi "Babu ubishi" kachemsha! hiyo source anayodai kuwa nayo HANA na ndio maana hawezi kuiweka hapa.

Mugongo*2 Kama unasubiri "source" basi utasubiri SANA! all the best.

Una haraka gani,20 years unatakiwa uwekeze akili yako kwenye masomo , unawaza dushe dah!!et mwanaume bikra ndo slivyokudanganya!na wewe kumwambia umeishabutuliwa na wanaume watatu mara sita means kils mwanaume amekubutua mara mbili ni kiherehere chako wanaume hatuambiwi hivyo pole.
 
Tafuta ambaye mnaendana coz hata ukiendelea na huyo mtaachana tuu lazima, atajifunza kwako then ataenda kutafuta anayedhani anamfaa.. Cheki mtu anayejua mapenzi so atakupenda kwa jinsi ulivyo na sio bikra ama majaribio!! Trust me..
 
Mm ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yy ni bikira lakn mm sio. Sasa inaleta shida nlipomwambia nmesha sex Mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Pleeeeeaseee. Mimi nampenda kweli na yy anasema ananpenda lakn Hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka. Mm Nina uhakika wa afya Yangu niko salama kabisa. Nifanyeje??

Hata mimi ningekuacha kbsa...twenty yrs umekuwa na rltship 3. We ni hatari
 
We katoto ni malaya, yaani miaka 20 relations 3!!? Na wote unafanya nao kwa wastani wa 2X una/wanakutema?
Kwa kifupi wewe ndo hujui unataka nini katika relations.! We binti bado mdogo sana hamishia akili yako shule au kwa sababu kuna uzi unasema wanaoolewa ni std VII na au form IV? Usichukulie serious mwanangu.
 
Huyu sio malaya bali kahaba na hiyo 6 hapo kuna wale aliowaficha hivyo ni kama 20 hivi
 
We katoto ni malaya, yaani miaka 20 relations 3!!? Na wote unafanya nao kwa wastani wa 2X una/wanakutema?
Kwa kifupi wewe ndo hujui unataka nini katika relations.! We binti bado mdogo sana hamishia akili yako shule au kwa sababu kuna uzi unasema wanaoolewa ni std VII na au form IV? Usichukulie serious mwanangu.

Maskini ukweli wake umemponza hivi nasi tunaweza kuongea ukweli wetu kama yeye
 
Sasa umetumia vipimo gn kujua km bkra thats is sk amazing hahaha
 
Akushindae kwa matonge mshinde kwa utowezi mwage yeye fasta
 
Mm ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yy ni bikira lakn mm sio. Sasa inaleta shida nlipomwambia nmesha sex Mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Pleeeeeaseee. Mimi nampenda kweli na yy anasema ananpenda lakn Hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka. Mm Nina uhakika wa afya Yangu niko salama kabisa. Nifanyeje??
njoo kwangu na mm nimesex mara 6 tuu kwa hiyo tutalingana
 
Mm ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yy ni bikira lakn mm sio. Sasa inaleta shida nlipomwambia nmesha sex Mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Pleeeeeaseee. Mimi nampenda kweli na yy anasema ananpenda lakn Hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka. Mm Nina uhakika wa afya Yangu niko salama kabisa. Nifanyeje??

tafadhali usituletee upuuzi wako hapa
 
Back
Top Bottom