Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

wew ni binti yeye ni bikira hahahaaaa nimeipenda hii
 
Haniamin yan ni manyanyaso...Anahisi sipo salama

Kama tatizo ni Afya mbona it is simple like A,B,C Nendeni kwenye vituo vya ushauri nasaha mkapime afya zenu (na ya kwake pia).

Tatizo jukwaa hili utoto mwingi sana, vistori vya kutunga visivyo kichwa wala miguu. Ngoja nirudi kwenye jukwaa la wakubwa wenzangu.
 
Sasa siumbikiri nayeye unasubiria nini!!?
 
Yeye anatishia wewe fanya kweli!!!
Anajipa umalaika asio nao inahusu?
 
Am 20yrs old nw, ka vp ni-pm ili tuanzishe mahusiano cz nipo single.🚺🚼™
 
Anaelewa utamu wa mchezo huyo ndyo maana haamini kama kuna walioanza safari kwako kabla yake. Huyo jamaa siyo bikira wewe😀😕
 
Miaka ishirini, shule vipi?! Elezea kila mwanaume umetembea nae mara ngapi. Hujataja denda wamekula mara ngapi. Hata mi ningejuacha maana hujielewi. Na huyo bikira wa watu ukitembea nae mara mbili utamuacha... N shdaaaa
 
Mimi ni binti wa miaka 20.

Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yeye ni bikra lakini mimi sio. Sasa inaleta shida nilipomwambia nimesha sex mara Sita na wanaume watatu tofauti.

Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha.

Kaka na dada zangu naomben ushauri.

Mimi nampenda kweli na yeye anasema ananipenda lakini hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka.

Mimi nina uhakika wa afya yangu niko salama kabisa.

Nifanyeje?

Watu humu wasikuzingue ,hao wanaume uliongonoka nao ni kidogo mno..... Na hata huko kutiwa Mara Sita ni chache mno.
Km analeta utoto wa mama piga chini na songa zako na maisha
 
Back
Top Bottom