MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,235
Mm ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yy ni bikira lakn mm sio. Sasa inaleta shida nlipomwambia nmesha sex Mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Pleeeeeaseee. Mimi nampenda kweli na yy anasema ananpenda lakn Hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka. Mm Nina uhakika wa afya Yangu niko salama kabisa. Nifanyeje??
Twende tukajiliwze kidogo baby wangu .....