Kuna mpangaji wangu mmoja nadeal nae sahivi anazingua sanaa, sahivi hapokei simu na anadai yuko kenya, kodi imeisha mwezi sasa, chumba kafunga halafu ni sehem wapangaji kupatikana ni siku 1 tu!! Daah inataka umakini sana (sio mihemko) kudeal na hawa wajinga hasa mjini, ndo nimeanza kwa mjumbe twende serikali za mtaa kupata notisi formal.Pole sana mkuu. Mimi wapangaji wangu wakizingua tu kulipa kodi nampa notice ya siku saba awe tayari amenikabidhi funguo za nyumba, na pia nyumba aiache ikiwa na hali ya usafi kama siku anaingia.
Pili bill ya maji ni shared kwa kila apartment block, hivyo ikitokea mpangaji anazingua tu kulipa bill ya maji na yeye notice inamhusu kwa sababu siwezi sababisha usumbufu kwa wapangaji wengine kwa ajili ya mzembe mmoja.
Kwa wapangaji huwa sitaki mzahaa na FEDHA yangu
Unaushauri gani mkuu?