Naomba ushauri Mke wangu kaenda kupima UKIMWI vipimo vimeonesha majibu tofauti

David Harvey

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,680
5,227
Habari za jioni?

Miezi sita iliyopita mke wangu alijichoma sindano ya mtu aliyeathirika,wife ni muhudumu wa afya akaanza kutumia pep lakini zile pep zilimsumbua sana ikabidi abadilishiwe.

Baada ya mwezi mmoja kutumia hizo pep alienda kupima akakutwa na yeye ana maambukizi ya ukimwi ,kiukweli ile hali ileleta simanzi sana katika familia.

Tulienda hospital tukapata counseling nikaanza kutumia condom,nilitumia condom kwa wiki 2 tu nilijitoa kafara nikaamua kuachana nazo nikawa napiga mzingo bila condom nimepiga mzigo kwa mpezi 3 bila condom. na mtoto anaendelea kunyonya kama kawaida

Majaabu yalianza mwezi uliopita tulienda kupima mimi nikakutwa sina tatizo, mtoto yupo vizuri nikamwambia mke wangu apime tena naye akaambiwa hana maambukizi yoyote, tukarudia tena majibu yakatoka yale yale.

Juzi akaenda kupima majibu yameonesha ameathirika, nimejiuliza maswali mengi mno Ina maana hivi vipimo ni batili au mbona kila kipimo kinatoa majibu tofauti Mara positive Mara negative.

Kingine wife alikataa kutumia ART tang alipoambiwa ana ukimwi lakini mpaka sasa ni miezi 4 yupo vizuri kiafya.

Kwanini vipimo vinatoa majibu ya kukinzana? Au kuna muda virus vinajificha visionekane?

Kwanin kipimo iki kinaonesha wife ana ukimwi lakini akipima siku nyingine kipimo kinasema ni negative?

MAONI YA WADAU
Naomba usome hapa ,na uelewe baada ya hapo chukua hatua.

Unapoona Dunia inachukua hatua kupambana na HIV ujue hili janga nibalaa na lipo na Linaua NDUGU.

USIFANYE KOSA ,NASEMA ,USIJE KUFANYA KOSA KUFANYA NGONO hatarishi, mtamuacha mtoto ktk wakat ambao bado anawahitaji. Ivo nikusihi TUMIA KONDOMU.

Mkeo anaonekana mwenye Afya kwa sababu hizi kubwa Tatu ,

Kwanza ..alitumia PEP kwaiyo kasi ya replication ya HIV ilikua nindogo nahivo Viral load ipo chini....

Pili...PEP zinakawaida ya kuhold on immune system isizalishe antibodies kwaivo huwezi pata zile dalili za HIV kwa muda naivo huchukua kuanzia baada ya miezi sita nakuendelea.

Tatu... HIV akishakuingia, kuanza kuonyesha dalili zenyewe huchukua karibia mwaka mmoja au miwili nakuendelea ndio sasa uone dalili...kwaiyo MTU huwa anajihisi mwenye Afya tu njema kumbe keshapata HIV.

DALILI ZA HIV ..huja ikiwa ni matokeo ya kinga yako yamwili kushuka , kwaiyo kwa miezi sita mpaka miaka yamwanzo ,MTU anaweza asioneshe dalili sababu kinga yake ya mwili IPO juu sana bado.

USHAURI.... Muhimize kwa upendo wa juu sana, namuonyeshe mahaba mazito sana mkeo ili AANZE KUTUMIA DAWA MAPEMA....
Usikae kimya , kuchelewa kwake K unaendelea kushusha CD4 , akianza kuumwa mpaka Utamkimbia.

Wewe mwenyewe, Tumia kondomu ... Achana na Bahati ulonayo .. Tumia kondomu. Na mwanamke akianza kutumia Dawa vzuri kwa muda wa miezi SITA...ndo uendelee kumla kavu.

Wewe unaweza kua kinga yako inachelewa kurespond kwa HIV , kwaiyo usishangae baada ya miezi sita au mwaka ukaanza kuumwa... IVO ACHA MASIALA.

muhimize mama aanze Dawa....tumia kondom...baada ya miezi sita unaweza kula kavu, MTAANZA WATOTO WAZIMA WA AFYA NAMAMA ATAISHI VZURI TU MAISHA MAREFU.

naamin umenielewa Mkuu!

NB.... Wakuuu PEP zinasaidia ila nazo zinategemea na Exposure uloipata nawingi wa Virusi., nahali ya virusi kwauyo aliyekupa exposure yenyewe (yaan matumizi ya Dawa )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Ulikua unapiga mzigo bila kinga na huku ukijua mkeo yupo positive?

Mimi hapana aisee...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ningetumia condom mpka lini ndio kwanza nina miaka 36 Ina maana kila siku uume ungekuwa unabanwa na condoms? Kifo kipo lazima utakufa tu
 
Nataka nijue inakuaje majibu yanakinzana wakati SD bioline ni zile zile? Pale hospital hawakutupa majibu ya kueleweka walituambia tuje baada ya miezi 3.
 
Naomba usome hapa ,na uelewe baada ya hapo chukua hatua.

Unapoona Dunia inachukua hatua kupambana na HIV ujue hili janga nibalaa na lipo na Linaua NDUGU.

USIFANYE KOSA ,NASEMA ,USIJE KUFANYA KOSA KUFANYA NGONO hatarishi, mtamuacha mtoto ktk wakat ambao bado anawahitaji. Ivo nikusihi TUMIA KONDOMU.

Mkeo anaonekana mwenye Afya kwa sababu hizi kubwa Tatu ,

Kwanza ..alitumia PEP kwaiyo kasi ya replication ya HIV ilikua nindogo nahivo Viral load ipo chini....

Pili...PEP zinakawaida ya kuhold on immune system isizalishe antibodies kwaivo huwezi pata zile dalili za HIV kwa muda naivo huchukua kuanzia baada ya miezi sita nakuendelea.

Tatu... HIV akishakuingia, kuanza kuonyesha dalili zenyewe huchukua karibia mwaka mmoja au miwili nakuendelea ndio sasa uone dalili...kwaiyo MTU huwa anajihisi mwenye Afya tu njema kumbe keshapata HIV.

DALILI ZA HIV ..huja ikiwa ni matokeo ya kinga yako yamwili kushuka , kwaiyo kwa miezi sita mpaka miaka yamwanzo ,MTU anaweza asioneshe dalili sababu kinga yake ya mwili IPO juu sana bado.

USHAURI.... Muhimize kwa upendo wa juu sana, namuonyeshe mahaba mazito sana mkeo ili AANZE KUTUMIA DAWA MAPEMA....
Usikae kimya , kuchelewa kwake K unaendelea kushusha CD4 , akianza kuumwa mpaka Utamkimbia.

Wewe mwenyewe, Tumia kondomu ... Achana na Bahati ulonayo .. Tumia kondomu. Na mwanamke akianza kutumia Dawa vzuri kwa muda wa miezi SITA...ndo uendelee kumla kavu.

Wewe unaweza kua kinga yako inachelewa kurespond kwa HIV , kwaiyo usishangae baada ya miezi sita au mwaka ukaanza kuumwa... IVO ACHA MASIALA.

muhimize mama aanze Dawa....tumia kondom...baada ya miezi sita unaweza kula kavu, MTAANZA WATOTO WAZIMA WA AFYA NAMAMA ATAISHI VZURI TU MAISHA MAREFU.

naamin umenielewa Mkuu!

NB.... Wakuuu PEP zinasaidia ila nazo zinategemea na Exposure uloipata nawingi wa Virusi., nahali ya virusi kwauyo aliyekupa exposure yenyewe (yaan matumizi ya Dawa )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi niliwahi kuchangia hapa kuhusu shangazi na kaka yangu kuwa walikataa kumeza dawa baada ya kugundulika na virusi tangu mwaka 2013 lakini mwaka huu kilichomkuta bro hatasahau kamwe mpaka anakufa alisalimu amri akaamua kutumia kwa sasa yuko fiti hana shida,,,shangazi nae mwenyewe kafuata baada ya kuona ameanza kuwa na hali mbaya...

Jamani Ukimwi upo tusilishane matango pori ukimwi upo kama unabisha ngoja yakukute ndo utaelewa. Carlos The Jackal,

NB
 
Wewe nielewe ..Mimi ni Daktari
Nataka nijue inakuaje majibu yanakinzana wakati SD bioline ni zile zile? Pale hospital hawakutupa majibu ya kueleweka walituambia tuje baada ya miezi 3.
Achana nakitu kinaitwa HIV... Naweza kupa mifano mingi.

Kuna Dada baada yakumpa majibu akasema hatotumia, tulimbembeleza sana akakataa.

Kaondoka ,sasa sijui alienda kusambaza..sijui.

Miezi miwili imeisha toka azikwe, maan alirudi keshapigwa na na CM balaa, mwisho akapoteza fahamu, kakaa akiwa kwa coma kwa muda wa miezi miwili , hatimaye akakata Kauli.

HIV iacheni aisee,... Kuna Dogo juzi ana 22 kakata moto , alikua amekonda balaaa, hajiwez, meningitis imempiga balaa, dogo kapoteza faham wiki Tatu...hatimaye akakata moto.

Unapogundulika una maambukizi..TUMIA DAWA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo ana akili sana. Asijaribu kitumia hayo ma ARVs. Hayo ndo yatamletea shida katika afya yake. HIV/AIDS propaganda tu.

Wewe hapo unao ushahidi tosha. Nitashangaa kama kuna mtu atakuja kukushikia akili zako. Maana ushahid unao kabisa huhusu uzushi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kumlisha matango pori jamaa.....

Wala sio akili KUACHA kutumia Dawa.

Nasisitiza, Mama aendelee kutumia Dawa kwa ajili Yake, mtoto na Mumewe NA baadae wazae watoto wenye Afya .
 
Back
Top Bottom