Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Kuondoa matatizo kwa bimkubwa na wanae endapo lolote litatokea. Huu ni muda muafaka wa kuandika wosia na kuwarithisha kila kitu mlichochuma na bimkubwa. Wosia ufuate taratibu zote za kisheria...

Fanya hivyo haraka sana. Anaweza kukuua huyu kichaa wako. Atamsumbua sana bi mkubwa asiye na hatia
Na anaweza kumuua kweli.

maana hana cha kupoteza!!!
 
Kabisa mkuu, ni wajinga sana,

Wamelishwa sumu mbaya sana,

Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,

Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,

Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,

Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!

Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .

Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
Dah pole aisee umewekeza upendo wako mwingi wamekudissapoint aisee si bora ungewekeza upendo na muda mwingi kwa watoto wako wandoa pengine wangekua proud zaidi na zaidi kuliko sasa maana uliwadhulumu baadhi ya vitu kama uwepo wako karibu,upendo ukaugawa dah anyway Mungu ni mwema siku zote imekupatia somo lakini.
 
Ila sasa huko mahakamani mchepuko kakataa kuwa hakuwa akijua mimi nina mke,
Ameshapewa maujanja na watu,

Na anasema anajua mali zangu zote pamoja na nyumba ya mke mkubwa zote anataka zichanganywe kwenye kesi na kama kugawana, zigawanyee zote
Duhh
 
Kata mawasiliano na hao watoto haraka sana. Kwanza kawapime DNA mengine yafuate.
Pale mapenzi yanapoleta uadui...
Hivi una hamu ya kuchepuka tena kweli??
 
Yani sisi wanawake ukimpata mwenye akili kweli umepeta, na ukimpata kilaza kweli Ni iilaza completely, vyeti vya ndoa vitakusaidia na bimkubwa awe shahidi ako mbona apo kwisha habari ake huyo.
 
Duu...
Pigeni bei io rasilimali, mgawane kilichopatikana, kila mtu aende njia yake.
Wewe Rudi kwa bi mkubwa
 
Akiwa kule, nikapata taarifa kanunua kiwanja kama cha niliona mbili hivi,
Alivvorudi nilimuuliza, akakataa kabisa, nikampigia mama yake kumuuliza, mama tena akakataa,
Ila nilimweleza kwa kutega. Mama kama mtoto wako kaamua kurudi nyumbani. Mwambie tu asifanye kwa kificho huo ni wizi hata watoto wake naogopa wasi je wakapata laana hiyo,

Mama akajibu atakujaje kuishi huku wakati huko ndio kwake?
As nikaona basi bwana isiwe shida,
Nikapotezea nikimsubiri arudi nimuulize.

Mwezi January sasa,
Mwaka 2017,
Fungu la pili kapokea 30 m
Hii story iliishia hapa mbona kama vile unaendelea?
 
DNA! Kahakikishe hao mabinti ni wanao kweli, una kila dalili za mmoja hapo kupigwa, na ndiye anayempa sumu mwenzake(wako halisi) kukuchukia na kukudharau! Usipuuze hili tafadhali.! Ni mara ya tatu hii narudia kama sikosei! Usidharau!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Yani sisi wanawake ukimpata mwenye akili kweli umepeta, na ukimpata kilaza kweli Ni iilaza completely, vyeti vya ndoa vitakusaidia na bimkubwa awe shahidi ako mbona apo kwisha habari ake huyo.
yaani ayatindiganye miaka 18

halafu atake bi mkubwa awe shahidi????

serious?????
 
yaani ayatindiganye miaka 18

halafu atake bi mkubwa awe shahidi????

serious?????
Sisi wanawake tumeumbiwa kusamehe na kusahau hasa kwa mwanaume alieomba msamaha wa dhati kabisa, huyo mama sidhani Kama anaweza kataa kumsaidia mumewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom