Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Mkuu unazikwepa quote zangu, usishupaze shingo. Kapime DNA, au fanya hata vipimo vya kiasili ujue uhalisi wa hao watoto, mara ya nne hii narudia.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mkulungwa.,
Umenifanya nicheke,

Ni kweli ni mara ya nne, ushauri wako nimeupokea hapa nilikuwa natafakari kweli,

Lakini pamoja ni ushauri mzuri, naona ni bora kwanza niendelee na hili la Mahakamani kwanza, nione mwisho wake., maana na lenyewe linaniumiza kichwa haswa, kwanza muda unopoteza huko na kupigwa pigwa kalenda na kazi za watu hizi, sio mchezo,

Nimekuelewa ndugu yangu, maana umeongeza kitu hapo
 
Ukipima watoto DNA na ikaonekana sio wako hapo kesi pia itapungua makali. Mbona kazi rahisi sana...ila.kuanzia sasa mkeo atapata raha sana maana unaenda kuishi kama malaika...hata ukiona mchepuko hutasimaisha mnara
 
😂😂😂😂
 
Mkulungwa.,
Umenifanya nicheke,

Ni kweli ni mara ya nne, ushauri wako nimeupokea hapa nilikuwa natafakari kweli,

Lakini pamoja ni ushauri mzuri, naona ni bora kwanza niendelee na hili la Mahakamani kwanza, nione mwisho wake., maana na lenyewe linaniumiza kichwa haswa, kwanza muda unopoteza huko na kupigwa pigwa kalenda na kazi za watu hizi, sio mchezo,

Nimekuelewa ndugu yangu, maana umeongeza kitu hapo
Ahsante sana! Kila la kheri mkuu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ila sasa huko mahakamani mchepuko kakataa kuwa hakuwa akijua mimi nina mke,
Ameshapewa maujanja na watu,

Na anasema anajua mali zangu zote pamoja na nyumba ya mke mkubwa zote anataka zichanganywe kwenye kesi na kama kugawana, zigawanyee zote
Wewe hujaweka mwanasheria huko mahakamani?
 
Na hapo uliposema Mungu akakuchukua ndipo pa kuangalia sana,
Maana hilo nimelpata wiki iliyopita tu mahakamani,

Ilikuwa hivi, yeye alitaka kuingiza mambo ya watoto kwenye hii kesi, hasa hasa kuwa mali au nyumba ni ya watoto,

Hakimu akamwambia watoto hawahusiki, watahusika tu kama shauri kingekuwa ni mirathi.,

Sasa hapo maana yake ni nini, siku umeondoka duniani hawa watoto wanaweza kutumiwa na ni mdogo kuja kudai mali ya urithi ya ni mkubwa, kwa hiyo mali zako zote ziuzwe au la mali ulizodhani umemwachia ni mkubwa na watoto wa ni mkubwa watakuja kushtukia wanaitwa mahakamani na watoto wa ni mdogo wapate urithi wao,,

Sasa kama hata wenyewe uliwajengea huko wanaona ni mkubwa kaachiwa maghorofa watakuja kuyadai vile vile, maana kumbe wanahaki hiyo,

Lakini kingine ni nini, huyu bi mdogo anaweza hata kukuondoa duniani kwa njia zake, ili ifunguliwe kesi watoto wapewe chao mapema kama ataona bado unang’ang’ania kuishi tu.

Mambo ni mengi lakini tuwe makini sana
Andika mirathi kisheri na uisajili RITA kabisa + kuteua msimamizi wa mirathi mapema kabla hujaacha mtafaruku
 
Kabisa mkuu, ni wajinga sana,

Wamelishwa sumu mbaya sana,

Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,

Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,

Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,

Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!

Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .

Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
Semester zinazofuata usilipie ada tena na Bumu wakachukue kwa mama yao.

Wakati mwingine haya maisha yanahitaji undava undava.

Yaani wewe ulishindwa kuzungushia hiyo nyumba ukuta hlf ukaweka fensi ya umeme na Suma jkt getini kweli?

Au kuipangisha hiyo nyumba mapema mapema kweli?
 
Mkulungwa.,
Umenifanya nicheke,

Ni kweli ni mara ya nne, ushauri wako nimeupokea hapa nilikuwa natafakari kweli,

Lakini pamoja ni ushauri mzuri, naona ni bora kwanza niendelee na hili la Mahakamani kwanza, nione mwisho wake., maana na lenyewe linaniumiza kichwa haswa, kwanza muda unopoteza huko na kupigwa pigwa kalenda na kazi za watu hizi, sio mchezo,

Nimekuelewa ndugu yangu, maana umeongeza kitu hapo
Hapo kuna njia mbili....

1.Tafuta wataalamu wa kumaliza kesi kwa kivyovyote vile.... au

2. Fanya maarifa aondoke hapo nyumbani kwako maana ndiyo kunampa free ride .... Weka mwanasheria akusimamie- ili isiwe lazima wewe kupuyanga mahakamani daily, hlf ongea na hakimu na muendesha mashitaka vizuri hiyo kesi iwe inapigwa kalenda tu ( apuyange kwenda mahakamani kwa miaka kadhaa mpaka apauke na believe me hata wanaomsupport watamkimbia).

Narudia tena ,kwenye maisha kuna kipindi inahitajika undava undava brother.
 
Hizi Mali zingine badilisha majina weka ya watoto wa bimkubwa na ndugu zako wengine.
Nimekuelewa sana,
Hebu Naomba nisaidie hapo,

Inamaana pamoja na vyeti vya ndoa, mahakama inaweza kumsikia na ikampa haki?, namaanisha kwa mali za bi mkubwa
 
Semester zinazofuata usilipie ada tena na Bumu wakachukue kwa mama yao.

Wakati mwingine haya maisha yanahitaji undava undava.

Yaani wewe ulishindwa kuzungushia hiyo nyumba ukuta hlf ukaweka fensi ya umeme na Suma jkt getini kweli?

Au kuipangisha hiyo nyumba mapema mapema kweli?
Ndio ilikuwa nia yangu kumwondoa mtoto, lakini mtoto alivyogoma kuondoka tu, mission yote ikafa, kumbuka ilitakiwa aondoka siku mbili kabla ya mimi kusafiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom