Naomba ushauri maana simuamini

Asante kwa ushauri.kweli nikitafakari jinsi hali itakavyokuwa miaka ijayo najiona kabisa nikiwa mlezi wa familia huku nikiendelea kumvumilia.najua hii itaishia kunijengea chuki na kushindwa kumweshimu.
vumilia Dada
maisha ni kuchagua.

Ninge huja baada ya safari.
 
Asante.naufanyia kazi huu ushauri

 
Wamekumbatia vivuli ,ili waonekane wana mahusiano.


Ila wanayoyapata ndani sasa hahahah ni visa ,roho nusu kutoka.


Ukiuliza kwann?? Utasikia, Umri unaenda tu na kuhisi wamechelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante.naufanyia kazi huu ushauri
Ila pole mwaya, usikubali kamwe mwanaume akugeuze pumziko ,kamwe usiruhusu hilo , atayavuruga maisha yako nahatimaye Jina lako litabaki kutamkwa kinywani kama ushuhuda tu kua "Niliwah kua na Rosey yule mwanamke NI zaidi ya shetani"

Kumbe MTU wa watu haupo ivo !!.


Usihisi umechelewa, usijione upo nyuma, muda bado unao wa kurekebisha kile ambacho unaona hakipo sawa iwe ndani ya jamaa ,au nje yake ,muda unao.


Unajua kwamba wewe ni mwanamke mzuri ? Unajua kwamba Sura na umbo lako vyavutia ? Unajua kwamba sauti yako na mienendo yako ya maisha, inamfanya MTU mmoja mahali Fulani kila siku anaomba aki hitaji siku moja uwe mke wake ?.


Sasa kwann unajijengea ukuta unaoziba kile kilicho chako, eti kisa tu una jitahidi kupambana na kuhakikisha una fit mahali ambapo sio pako ?.


Hapana bana.... Kwa nyinyi wanawake ambao nmekua, na mnatambua Mahitaji yenu ndani ya mahusiano. SITEGEMEI kabisa kabisa kama unaweza kukubali kupoteza muda wako kizembe .


Usifanye uwekezaji wa Muda na Moyo mahali ambapo sipo pako..


GIVE YOURSELF TIME

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko naye ili kuprove hizo deals? Mbona unajichimbia kaburi sasa?

Hizi pombe amekua nazo tangu mnaanza uhusiano? Na hao maEx kawaongelea tangu mnaanza?
 
Yaan huyo namfananisha na kaka yang anamisifa kama wako, mara nying huwa kufanikiwa hao ni hamna na kaka yang kaoa ila mpak sasa mke wake anajuta. Samahan lakn kama nitakuboa achana na huyo mwanaume kwan hat ukae nae umshauri huwa hawabadiliki akili zao huwa zinawatuma kujiona wao ni matawi tu
 
Mi naamini jamaa angekua Hana kitu ungekua umeshamtema, ulicho kiandika hapa inaonyesha hauna mapenzi nae tena ila kinacho kufanya uogope kumpoteza ni faida flan hivi unazoogopa kuzipoteza
Hamna mapenzi hapo nawajua nyie

Sent using Gun Trigger
 
ivi we ndo unaoa au unaolewa mpka umpangie aje kuishi dar??
.
anyway huwez kufanya maamuzi sahihi kwa sasa kwa sababu long distance relationship zinamambo meng, naye anaweza kuwa anakuoenda san na yupo tayr kukufanyia chochote ila qa sababu upo mbali naweza kuwa anapata mashaka.
.
cha kukushauri kwa kuwa huna kazi safiri nenda huko huko kakaenae hata miezi minne hapo ndipo utamjua vzr na hutarudi tena kuomba ushauri hapa maana tyr utakuwa ushajua nini cha kufanya uendelee au laa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time is tickling, haikusubiri.
Kaa uongee nae, mwambie kwamba unahitaji commitment kwa maana ya ndoa. Kama anahisi hayuko tayari, basi mbreak up.
Ila inaonekana hakuamini kwasababu kunakitu kwenye moyo wake kutokana na mahusiano yake ya nyuma. Chukua muda wako kuongea naye na kujua in a very calm and polite way.
 
Aisee ushaur mzur dada yaan nikwel kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unataka aje dar ili iweje? Watu wa dar mnaonaga kama Dar peke yake ndo wanapotakiwa kuishi watu... Ungejua mikoani watu wanafanya mambo Ya maana kuliko hata huko dar unakong'ang'ania....
Anyways Kifupi Jamaa hana mpango wowote wala haraka ya ndoa na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana jitahidi kuchukua maamuzi magumu, Mungu akusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…