Naomba ushauri kwa wanatengeneza websites

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Wanajf nadhani nyie ni wazima tena sana heri ya mwaka.
Sasa mimi naomba ushauri wenu nina website ila naitangeneza so sijui jinsi yakutengeneza zile emails zake mf.
Info@tecnoimages.com
Sales @ ...............com
Najua mtanisaidia.
Muwe na wakati mwema
 
check kwenye w3 schools, tutorial points etc, hapa huwezi pata enough reliable information, unless unataka kuhire mtu akufanyie
 
Yes ila zifanane nahiyo website.
Hizi huwa zinatolewa na web hoster kulingana na package uliyochagua, maana package huwa zinatofautina kulingana na features package uliyochagua, kuna package unapewa account moja tu ya email, nyingine unapewa email account kadhaa na nyingine wanakupa unlimited, sasa wewe ndo utachagua package kulingana na email unazotaka kuweka, kisha unaingia kwenye email manager na kuziweka hivyo unavyotaka
 
Ingia kwenye cpanel, scroll kidogo tafuta sehemu iliyoandikwa "email accounts" au neno lolote linalofanana na hilo click hapo itakuja sehemu ya kuandika username ,password na email storage size kisha create email , username ndio jina la kuanzia mfano sales,info nk
Process ni very simple
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom