Goldman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 1,930
- 2,407
Ninaomba wakuu mnaoilewa toyota brevis, ninapenda brevis yenye cc3000, je kuna utofauti mkubwa wa fuel consumption kati ya brevis ya cc3000 na ya cc2500? Na je nitakapotaka kuiuza brevis yenye cc3000 inaweza sumbua kwa sababu ya ukubwa wa cc? Natanguliza shukrani zangu.