Naomba ushauri kwa hili wana MMU

Naomba ushauri kwa hili wana MMU

basi kama hvyo mpangie kazi zake awe anazifanya na kupata muda wa kupumzka na kujisomea. Labda, usafi wa baadhi ya sehemu za ndan, either sebulen na koridoni, then hadi vyombo vya jioni au kupika mboga jioni au viwe vina-rotate kupka na vyombo.
Haitamchosha mwanafunzi na pia dada ataona anasaudiwa
umenisaidia sana kupanga......
atasafisha chumba chake na bathroom yao, na kwa vile anapenda kupika basi atapika jioni tu.
kuosha vyombo kazi ya dada, lol!
 
unajua nashindwaga kuelewa kwa nini kuna wamama wanakuwa na urafiki na wadada wa kazi wa nyumba za jirani na wakati maboss wao hawajawazoea

Wanafanya hvyo sababu hawana kazi za kufanya,kwa mama aliye bize hawez kufanya upumbavu huo.

Mie nina majirani vimeo acha tu,nashukuru Mungu amenipa moyo wa pekee,nashukuru Mungu mdada wa sasa ana msimamo chochote wanachochokonoa lazima aniambie na hatoi ushirikiano kwao.
 
huyo mzuri......
 
Unaonekana yumpole sana,anyway unapaswa kumwambia huyo binti yako ni muda gani wa kufanya kazi na muda gani wakufanya mambo yake binafsi kama kujisomea n.k hata kama kuna kazi hapo nyumbani ukifika huo muda awe bize na mambo yake.
 
kuishi na mabint tabu jaman yan acha tu!!!!! wa kwangu mwenyewr ananiumiza kichwa!. panga ratiba hakikisha anaifuata bt endelea kutafuta mwingine coz hawa wadada wakianzaga vituko haviishagi!!!
 
Nakupongeza kwa kumjenga mwanao ktk mcngi mzuri wa kufanya kazi. Umempa silaha bora ktk maisha. Jitahidi pia kumsaidia katika elimu. Mpangie muda wa kujisomea coz akishinda anafanya kazi atalala amechoka so hataweza kujisomea. Asaidie kazi hadi saa 9 alasiri aingie chumbani ajisomee huyo dada aendelee na majukumu yake.
 
Hahahaah!! sikupatii picha ilikuwaje? na ka muda kangu kachache mie nimeamua nijifuliage tuu nguo zangu na za

hubby maana unaweza pata murder case bure!!!, niliwahi kukaa na binti wa Mtwara mbona nilikoma! chochote

kinachofanyika ndani kiwe kizuri au kibaya lazima kifike kwa majirani,sebulani kukawa jumba la sinema,mie

nikipita zangu kuelekea job watu wananing'ong'a tu wanajua a-z yangu, vitu vya ndani wanapewa majiran ukiuliza

mara kimevunjika,mara kimepotea, nilikuwa nalisha familia tatu bila kujua mchele unaweka ndani hata mwezi

haufiki,nilivyokuja kugundua kesho yake fasta nikarudisha kwao, sasahivi niko na wa Kigoma namshukuru Mungu siyo

mbaya sana yanavumilika.

kigoma ndio mpango mzima, mie sikuwahi kuzoea kukaa na wadada aisee, huyo wa kigoma ndio huyo huyo nimekaa nae mpaka alivyoniaga akaendeleze kijijini kwao huko sasa,tulipokuwa wapenzi na msukuma nilimkuta na houseboy wa kigoma,nimeolewa/nimezaa ndio akatuambia na yeye anataka kufanya biashara zake lakini kwa kutusaidia atamleta mke wake aje afanye kazi, watoto waliachwa na bibi yao kigoma, alikuwa bonge ya mdada, aisee hatakaa atokee, siku ananieleza ya kuondoka nilishindwa kujizuia kwa uchungu, niliumia sana, ni mdada ambae wote mpo safari na mna amani tele, anapenda watoto kupitiliza, nyumba ilikuwa kama yake, anafanya kitu kwa roho moja, sasa hivi nashindwa hata kwenda hapo njoro tu lazima nibebane na watoto, namwamini nani sasa?
 
unajua nashindwaga kuelewa kwa nini kuna wamama wanakuwa na urafiki na wadada wa kazi wa nyumba za jirani na wakati maboss wao hawajawazoea

hawana lolote zaidi ya kutaka umbea tu, huyu wangu aliekuwa mshinda magetini ndio alikuwa ananijiaga na stori za majirani nilikuwa namkatiza hapo hapo namwambia sitaki umbea wa majirani kwangu, kwanza umeyajuaje kama sio na wewe kuna yako unayasema huko, nakuta mmama jitu zima amesimama na dada getini najiuliza huyu mama analipi la kuongea na huyu mtoto jamani?
 
Kabla hujaondoka mpangie binti yako kazi zake tena mbele ya dada, kazi zingine zinazobaki afanye dada, mwambie dada huyu ni mwanafunzi anahitaji muda wa kujisomea
 
kigoma ndio mpango mzima, mie sikuwahi kuzoea kukaa na wadada aisee, huyo wa kigoma ndio huyo huyo nimekaa nae mpaka alivyoniaga akaendeleze kijijini kwao huko sasa,tulipokuwa wapenzi na msukuma nilimkuta na houseboy wa kigoma,nimeolewa/nimezaa ndio akatuambia na yeye anataka kufanya biashara zake lakini kwa kutusaidia atamleta mke wake aje afanye kazi, watoto waliachwa na bibi yao kigoma, alikuwa bonge ya mdada, aisee hatakaa atokee, siku ananieleza ya kuondoka nilishindwa kujizuia kwa uchungu, niliumia sana, ni mdada ambae wote mpo safari na mna amani tele, anapenda watoto kupitiliza, nyumba ilikuwa kama yake, anafanya kitu kwa roho moja, sasa hivi nashindwa hata kwenda hapo njoro tu lazima nibebane na watoto, namwamini nani sasa?

Aisee! duh!! kwa huyo hata mie ningelia, pole sana Mungu atakupatia mwingine. Fixed Point tupe mrejesho kikao ulikiweza au ndiyo huruma zilikuzidia tena mammy!(jocking)
 
Last edited by a moderator:
Aisee! duh!! kwa huyo hata mie ningelia, pole sana Mungu atakupatia mwingine. Fixed Point tupe mrejesho kikao ulikiweza au ndiyo huruma zilikuzidia tena mammy!(jocking)
ha haaaa, leo ndo nimeweza kupata nafasi ya kuweza kuwapa mrejesho................
Ukweli siku ile baada ya kumaliza sala za Usiku na wengine kuingia vyumbani, nilikaa na wasichana wangu na kuongea nao. Kila mtu alionyesha kuelewa na kuridhika na maamuzi yangu. Binti ana kazi za usafi asubuhi na kupika jioni, mchana anajisomea. Kazi nyingine zote za dada.
Jana nilitoka na binti, akaniambia ukweli alikuwa anashindwa kuacha kufanya ninapotuma hasa kama sijataja jina maana yeye pale ni nyumbani na dada ni mpita njia tu, hataki kunikwaza kama nimetuma na kitu hakijafanyika (UKWELI NAJIONA NIMEBARIKIWA SANA KUPATA HUYU BINTI).
Dada pia yupo na amani na anafanya kazi zake bila kunung'unika na tunaongea poa tu.
Nichukue muda huu kuwashukuru woooote mlionipa ushauri kwa hili. Mungu awabariki sana wapendwa wangu. Naamini pia wengine wenye changamoto kwa hili wanaweza kupata mwanga.
 
Safiii na Hongera sana!! Mungu azidi kutawala amani,upendo na furaha vidumu katika familia yako.
 
Draw a line, dada wa kazi yupo kazini na binti yako hayupo. She is doing that kwa ajili ya kujifunza lakinI sio kila siku. Anahitaji kukua, kucheza, kusoma na kuwa kama teenagers wengine. Dada yupo pale ili kusaidia hilo litokee. Ingekuwa mimi ningemuita dada nikamueleza expectation zangu. Ukweli usemwe hata kama ni mgumu vipi mpe mtu pasi na uso ilimradi humtukani!
 
ha haaaa, leo ndo nimeweza kupata nafasi ya kuweza kuwapa mrejesho................
Ukweli siku ile baada ya kumaliza sala za Usiku na wengine kuingia vyumbani, nilikaa na wasichana wangu na kuongea nao. Kila mtu alionyesha kuelewa na kuridhika na maamuzi yangu. Binti ana kazi za usafi asubuhi na kupika jioni, mchana anajisomea. Kazi nyingine zote za dada.
Jana nilitoka na binti, akaniambia ukweli alikuwa anashindwa kuacha kufanya ninapotuma hasa kama sijataja jina maana yeye pale ni nyumbani na dada ni mpita njia tu, hataki kunikwaza kama nimetuma na kitu hakijafanyika (UKWELI NAJIONA NIMEBARIKIWA SANA KUPATA HUYU BINTI).
Dada pia yupo na amani na anafanya kazi zake bila kunung'unika na tunaongea poa tu.
Nichukue muda huu kuwashukuru woooote mlionipa ushauri kwa hili. Mungu awabariki sana wapendwa wangu. Naamini pia wengine wenye changamoto kwa hili wanaweza kupata mwanga.
una bahati kupata huyo binti. mi alikuja mtt wa wifi akiwa teenager, alikaa kwangu muda wa kutosha tu, mbona nilijuta. akiamka asubuhi anawasha TV miguu juu ya sofa anasubiri dada apike chai. Hata akikuona mama mwenye nyumba unachakalika yeye hajali. kumuuliza mbona humsaidii dada hata kupika chai, akanijibu yeye dada ndio msaidizi wa kazi, ndio majukumu yake.

ila pia kuna wtt wanapenda kumsaidia dada kazi za ndani kuliko kusoma. hakikisha binti anapata muda mzuri wa kujisomea, na aelewe umuhimu wa shule pia
 
Back
Top Bottom