Naomba ushauri kwa hili wana MMU

Naomba ushauri kwa hili wana MMU

una bahati kupata huyo binti. mi alikuja mtt wa wifi akiwa teenager, alikaa kwangu muda wa kutosha tu, mbona nilijuta. akiamka asubuhi anawasha TV miguu juu ya sofa anasubiri dada apike chai. Hata akikuona mama mwenye nyumba unachakalika yeye hajali. kumuuliza mbona humsaidii dada hata kupika chai, akanijibu yeye dada ndio msaidizi wa kazi, ndio majukumu yake.

ila pia kuna wtt wanapenda kumsaidia dada kazi za ndani kuliko kusoma. hakikisha binti anapata muda mzuri wa kujisomea, na aelewe umuhimu wa shule pia
Asante sana......
Mimi pia hapa kwangu huwa wanakuja mabinti watoto wa ndugu zangu au wa upande wa pili huwa ni majanga.
Na mimi ukweli huwa silazimishi mtoto wa watu afanye kazi, kama kwao hawafanyi basi hawezi anzia kwangu, after all, ni mpita njia tu.
 
Rahisisha maisha nunua dish washer (mashine ya kuosha vyombo), laundry machine(kufua), steam mop machine(kudeki)na roomba vaccuum cleaner(kifuta vumbi)
Kazi hazichukui nusu saa na hata huhitaji house girl
 
Ngoja nkumbuke enzi zangu nkitoka boarding kibaha nlikuwa naishije home.
Well kwanza walikuwa wakinifata shulr jua nkirudi that day mieni queen lol napikiwa mahanjumati nirudie ubonge wangu.
Siku hiyo sifanyi kazi ila kesho asubuhi lazima niamke nifanye usafi rum nalala na dada wa kazi,kisha napika chai hapa nakumbuka ilikuwa marufuku dada wa kazi kutumia jiko la umeme lol kwa sababu alikuwa hawezi kulimudu kwa hiyo chai inanihusu natenga mezani twanya vyombo hapo tutasaidiana kutoa na dada na ataviosha yeye baada ya hapo mie napika tena kimoja kama mboga au ugali au wali kingine anapika yeye kisha tunaatenga wote na dada vyombo anaosha yeye.
Nlisahau usafi sitting room na chumba cha mama ni yeye dada wakazi.Jumapili usafi nyumba nzima kwa ndani ni mie, kwa nje dada wa kazi na mama anayepika ni my sisy ambaye ni mfanyakazi aliajiriwa au mama anapika akimaliza hapo vyombo tunasaidia mie na dada baada ya hapo ni tv kwa kwenda mbele au kusurf kwenye desktop.
Seriously likizo sikuwahi kushika daftari ni mda wangu wa kupumzika na enzi zetu tulikuwa hatunaga zile holiday packages kama wanafunzi wa sasa hivi.Well wa kwako mpangie usafi kwake rum yake tu na kama anamdogo wake amfanyie usafi rum.
Kisha either kupika wasaidiane au mpangie usiku tu awe anapika yeye usiku au aoshe vyombo au dada apike yeye aoshe vyombo Hapo mda wa kusoma ataupata japo likizo ni likizo likizo tu.He he naogopa kukushauri kuwa likizo asisome looo
Jumapili au jumamosi afanye usafi wasaidiane general yeye na dada pamoja na kufua nguo za familia.
simple as dada wa kazi aelewe position yake.
Samahani kwa kukuandikia gazeti nlikumiss ndo maana nimeandika gazeti
😀😀😀😀
 
sio kwamba binti anapenda kazi nyie wamama mnaofundisha mabinti kazi mnapitiliza. iam saying this out of experience of my mom.Na mpaka na leo na utu uzima wangu ukifika nyumbani we ndo wakupikia wafanyakazi nimeona isiwe tabu sitaenda labda iwe lazima. sa mama kakazana kuniuliza kwa nini sikuhizi siiendi nyumbani hapo ni mwaka tu.
 
He he kaka dada yuko Tanzania tena gezaulole hayuko australia na hivi luku imepanda unataka afilisike.
Humtakii mema 😉😉😉😛😉
 
Mi niko Ludewa natumia solar my sweet; dah nakumiss ajeeee???

Hivyo vifaa wala sio high rated power users, and then si unafua twice ama thrice per week! Inawezekana tu bana
 
hivi amu jerry ni your kaka amah?????
mwanichanganya nyie akichombezwa so unakuja fastaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

kweli ulinimiss mdogo wangu. I missed you too
 
sio kwamba binti anapenda kazi nyie wamama mnaofundisha mabinti kazi mnapitiliza. iam saying this out of experience of my mom.Na mpaka na leo na utu uzima wangu ukifika nyumbani we ndo wakupikia wafanyakazi nimeona isiwe tabu sitaenda labda iwe lazima. sa mama kakazana kuniuliza kwa nini sikuhizi siiendi nyumbani hapo ni mwaka tu.
ha haaaa, kaazi kweli
 
He he kaka dada yuko Tanzania tena gezaulole hayuko australia na hivi luku imepanda unataka afilisike.
Humtakii mema 😉😉😉😛😉

Mi niko Ludewa natumia solar my sweet; dah nakumiss ajeeee???

Hivyo vifaa wala sio high rated power users, and then si unafua twice ama thrice per week! Inawezekana tu bana
kaka Jerry, kumbuka hivyo vitu vinataka mtu aviongoze.....
lazima mtu aweke vyombo vilivyotolewa taka kwenye dish washer, lazima mtu ashike vacuum cleaner n.k.
kama mtu ni mvivu, hivyo pia ni kazi.
 
sio kwamba binti anapenda kazi nyie wamama mnaofundisha mabinti kazi mnapitiliza. iam saying this out of experience of my mom.Na mpaka na leo na utu uzima wangu ukifika nyumbani we ndo wakupikia wafanyakazi nimeona isiwe tabu sitaenda labda iwe lazima. sa mama kakazana kuniuliza kwa nini sikuhizi siiendi nyumbani hapo ni mwaka tu.

Ha ha nimecheka sana
 
hivi ndo tunawaandaa watoto wetu eeeeeh!! wiki mbili akae asome nn mwache apige kazi
 
Jaribu kukaa na binti yako umueleze kuwa anatakiwa amwachie dada afanye kazi za ndani na yeye awe anamsaidia tu kidogo na vilevile ukae na dada umwambie kuwa anatakiwa ampe nafasi binti yako awe na wakati wa kusoma maana yeye ndio amekuja hapo kwako awe anafanya majukumu hayo na sio huyo mdogo anaeaoma
 
hivi ndo tunawaandaa watoto wetu eeeeeh!! wiki mbili akae asome nn mwache apige kazi
sijasema nataka asifanye kazi......
nimesema dada anategea kazi zooote (nyingi) zifanywe na binti.....
Huwa wakifungua shule tu wanafanya mitihani, lazima apate muda wa kujiandaa kwa mitihani atakaporudi
 
Back
Top Bottom