Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #141
Asante sana, nimeongea nao na wameelewaJaribu kukaa na binti yako umueleze kuwa anatakiwa amwachie dada afanye kazi za ndani na yeye awe anamsaidia tu kidogo na vilevile ukae na dada umwambie kuwa anatakiwa ampe nafasi binti yako awe na wakati wa kusoma maana yeye ndio amekuja hapo kwako awe anafanya majukumu hayo na sio huyo mdogo anaeaoma