Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #41
ha haaaa, uzuri tu mrembo anapenda kukaa na mamake, angeshahama nyumba.........binti yako si ni educated kiasi mamii??
kwani akiandika work report ni vibaya? lols..
ila seriously, mpe limit za aina gani za kazi afanye ili apate muda wa kupumzika,
usimfanye mrembo wetu akose amani ya kuwa likizo!..
btw, mwambie excel anamsalimia!,,.. lols!
nitampangia kazi ili akimaliza apumzike na kujisomea