Usiwaze sana best ni simple sana ,
Fixed Point wewe ni mama mzuri unayejua malezi na ninategemea wewe ni rafiki
kwao si adui,ongea nao wote wawili wakiwepo na panga majukumu as mama kwa upendo kabisa as family talk,mueleweshe
binti yako kwamba anahitaji kuwa na muda mzuri wa kusoma yupo likizo lakini masomo hayako likizo,akishamaliza
yale majukumu yake apumzishe mwili then asome na anaposoma haitajiki mtu yeyote kumsumbua hii iwe ni Strict to
all family members. Muelimishe dada pia umuhimu wa kufanya kazi kwa wakati na kumaliza mapema ili awe na muda wa
kupumzika. ALL THE BEST.